Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inaonekana sasa hivi Dar kuna baridi kali sana pupwe linapuliza balaa majira ya winter. Katika hali isiyo ya kawaida kuna mwamba kaonekana kavaa winter jacket yale majaketi ya winter watu wanavaa...
5 Reactions
23 Replies
568 Views
Huu ndio uhalisia ulioko kwenye jamii.. Jamii haina upendeleo kwakuwa Ukifanya vema.. Bila hata kuomba itakupongeza na kukusifia sana..LAKINI ukiboronga itakubagaza live bila chenga Risala...
8 Reactions
20 Replies
373 Views
Mtaalamu wa Saikolojia kutoka Tanzania Health Alliance, Mwanaisha Said, amesema kwamba michezo ya kubashiri (betting) inaweza kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya akili kwa vijana endapo itafanyika...
2 Reactions
2 Replies
175 Views
Hata ufanye nini asili itakugusa tu, uzembe wa wengine utagusa hata uwe makini kiasi gani, raha itakupata tu kwa wakati fulani na shida itakupata ili wengine wapate raha. LIFE
8 Reactions
21 Replies
404 Views
Huyu dogo ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma, leo nimebahatika kuona salary slip yake, kidogo nizimie yaani. Kuna private sector watu wanakula good time sio poa!
15 Reactions
167 Replies
5K Views
Mimi mdau mkubwa wa hii kitu lakini ni zaidi ya wiki mbili sasa sio kwenye bar wala kiosk haipatikani inakuaje kitu Ina demand kubwa alafu ghafla usambazaji hakuna tena.
5 Reactions
23 Replies
450 Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deogratius Balile amesema katika maadhimio yao wameweka wazi kuwa awakubaliani na ufungiaji wa Vyombo vya Habari, kama JamiiForums, Jambo Tv au...
1 Reactions
6 Replies
231 Views
_Ooh anajifanya, _anatumia madawa yanayo mpa ganzi muda wote, _huyu ni spy huyu, _anajikuta wa maana hataki kuongea na watu,
5 Reactions
8 Replies
262 Views
UKWELI 'MUHIMU' KUHUSU SUALA LA UMAARUFU! Umaarufu ni mchanganyiko wa mambo au vitu kama vitano hivi. 1. Kipaji halisi (talent) 2. Muonekano wako na ujitunzaji wako binafsi 3. Kujiamini...
1 Reactions
2 Replies
190 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Stephen Wasira amekanusha chama hicho kutumia vyombo vya Dola kujinufaisha kisiasa. Ameyasema hayo katika mahojiano maalum na UTV.
1 Reactions
6 Replies
193 Views
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!, Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya...
24 Reactions
140 Replies
4K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu akizungumza wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) 2026 yaliyofanyika mkoani...
1 Reactions
1 Replies
109 Views
Anonymous (ea43)
Hiki ni Kituo cha Afya cha MANDA, WILAYA YA LUDEWA, MKOA WA NJOMBE, kama unavyojionea ni kichafu, hakina mazingira ya kuridhisha ni kama vile hakitumiki au wahusika hawajui nini maana ya usafi...
1 Reactions
5 Replies
263 Views
  • Redirect
Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe. Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai...
0 Reactions
– Replies
– Views
Serikali tunaomba ndugu zetu waliopo South Africa warudishwe nyumbani. Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mtz akipigwa sana kama mbwa huko South africa Hizi ngozi nyeusi zimelaaniwa...
9 Reactions
146 Replies
2K Views
Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi...
23 Reactions
45 Replies
1K Views
Habari hii inahusu tukio la hivi karibuni mnamo Aprili 2026 nchini India, ambapo mwanaume mmoja anayejulikana kama Jitu Munda alilazimika kuchukua hatua kali ili kupata haki yake kutoka kwa benki...
6 Reactions
16 Replies
535 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana "Waandishi...
10 Reactions
19 Replies
444 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 30, 2026, ambapo ametoa ushauri kuhusu Serikali kupitia Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC) kuingilia...
2 Reactions
3 Replies
244 Views
Hiyi dunia Kuna watu mnamatatizo kichwani unatangaza unatoa ajira watu tunapambana kwenye kundi la watu 300 wanapatikana 10 Alafu unakuja kwenye salary slip kinasoma kimilion moja unusu Hivi...
8 Reactions
37 Replies
729 Views
Back
Top Bottom