de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 2,895
- 6,184
Kuna jamaa yangu stori yake inasikitisha kidogo, he's in his late 30's now. Hana familia, hana maisha. Sadly mwaka Jana ndo kaamua kutoka nyumbani. Ila nimekaa kungalia stori yake ni bro wa kitaa tu. Amekuwa na kusoma nikimuona.
Alimaliza primary na secondary vizuri sana, alikuwa kichwa ndoto zake alitaka kuwa rubani. Ila haikwenda kama matarajio. Advance alipitia changamoto, sijui alikumbana na tukio Gani maana ni mpka alirudi home. Alishuka galfa kimasomo kamaliza hakufauru akarudi diploma. Ila alikua kama kapoteza Nuru ya maisha.
Toka hapo Sasa ikawa ni mtu aisye maliza anacho Anza, kaenda kusoma diploma hakumaliza, karudia tena akafanikiwa. Ila Sasa kitu ambacho nakiona kwake ni kama kakata tamaa ya maisha.
Ni mtu asiyeonesha ana shida, akipata kazi anafanya Kwa mwezi mmoja anaacha. Analaumu sana mapito yake, hana marafiki wa kudumu. Hana mahusiano. Alishawahi kunipa stori ya demu mmoja ambaye alimcheat so baada ya hapo hapendi kabisa.
Huwa najiuliza namna ya kumsaidia nashindwa, Kuna kitu moyoni make kakibeba anashindwa kukitua. Anapenda sana kutoa wosia yaani mkikaa naye utadhani unajua Kila kitu kuhusu maisha. Ila yeye Sasa ame stuck.
Kama Kuna mtu, au mwana psychologia au mwenye kuliona hili jambo kipekee atoe ushauri labda utamsaidia. Jamaa umri umekimbia Kuna muda Huwa tukiongea anasema kabisa kama angekuwa mtu mwingine angejiuwa, ila naishia kucheka namwanbia unataka stori ya maisha yako iwe ya kijinga namna hiyo? Ila ukweli jamaa ni kama afya yake ya akili inazidi kuwa mbaya. Anahitaji msaada.
Nilimshauri atoke nyumbani aende akaanze maisha upya, ila naona japokuwa kahama, tabia ni ile ile, kupigia watu simu, kuomba hela, kuongelea mafanikio ya wengine.