Mke wangu ni mjamzito, leo kwa hiari yangu nikaamua kumpeleka kwenye huduma za klinik kwa mara ya kwanza, na ratiba ya klinik kwa wajawazito wa mara ya kwanza huwa ni ijumaa, nimefika pale...
Yaani mfano kwenye maandiko au hadithi mbalimbali Kuna waovu walibadilika wakawa mashujaa
Je, inawezekana Kwa sasa mtu muuaji kuwa shujaa namaanisha ukombozi.?
Waziri wa Viwanda hatusikii akienda kuzindua viwanda vya kujenga uchumi wa kweli anakwenda kufungua kampuni ya kucheza kamari kwa kigezo kwamba inachangia kodi ina maana mmekosa mbinu nyingine...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam. Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake katika sekta ya nishati na usambazaji nchini baada ya kutunukiwa tuzo mbili muhimu ndani ya...
Mwandishi wa habari wa Swahili Media Amani Mongi amekatwa muda huu na polisi wakati akirekodi tukio la tu anayedaiwa kuwa mwizi katika eneo la Transfomer kata ya Murieti Mkoani Arusha
Jitihada za...
Sisi ni Watumishi wa Umma katika Kituo cha Afya Mbande tunafikisha ujumbe huu kwa jamii tukitoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi wa matumizi mabaya ya madaraka, uhujumu uchumi, maonevu ya kimfumo...
wanajulikana kama Wayahudi wa Ethiopia, ni jamii ya kale iliyodumisha imani ya Kiyahudi kwa karne nyingi katika maeneo ya kaskazini mwa Ethiopia. Je, hawa ndio Waisraeli wa mwanzo?
Kihistoria...
Wakuu, naombeni msaada
Nimeoa, mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja lakini kila siku nakutana na mitihani ambayo nashindwa kuelewa ni nini kinatokea, tunapolala usiku kila nikiamka usingizini...
Mwandishi wa habari wa Swahili Media, Amani Mongi, amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita wakati akiwa katika eneo la Transfoma, kata ya Murieti mkoani Arusha akirekodi tukio la mtu...
Wazindua awamu ya pili ya maombi ya ufadhili
Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, kupitia programu yake kinara ya ubunifu ya FUNGUO inayofadhiliwa kwa ushirikiano na Umoja wa...
I think kama hii kitu iko on the rise basi ni muda wa kurudi nyumbani. Like seriously how can you live with these people 🥷
Watu wavivu, masikini wasiopenda kufanya kazi, wanasingizia matatizo yao...
Mwandishi Wetu, DODOMA, Aprili 26, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametumia mamlaka yake ya kikatiba kutoa msamaha wa kupunguza adhabu kwa wafungwa 1,369...
Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko shuleni leo. Nchini Tanzania, baadhi ya mashirika ya haki za binadamu na yale yanayojihusisha na elimu yametoa tamko la pamoja...
Huyu Dada kafanya kosa la kiufundi kwenye biashara yake. Kutamka kiasi anachoingiza hadharani tena kwenye chombo cha habari ni mwanzo wa kuiua biashara yake. Hapo kutajaa wauza barakoa...
Exim Bank Tanzania imeendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika mageuzi ya sekta ya elimu nchini kwa kufanya mazungumzo na Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Kikao hicho...
Wakuu,
Leo ni siku ya workers day duniani. Tujikumbushe
Mimi nilivyokuwa Sekondari kwenye shule moja maarufu hapa Dar nilitamani sana kuwa "Lecturer" pale Creative Arts UDSM
Nilikuwa namuonaga...
Sisi wananchi wa Tarime tunapata shida sana kutumia barabara inayotoka Tarime Mjini kuelekea Kata ya Magena ambapo kuna shule, hospitali na Uwanja wa Ndege kutokana na ubovu wa barabara hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.