Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,670
Inaonekana sasa hivi Dar kuna baridi kali sana pupwe linapuliza balaa majira ya winter.
Katika hali isiyo ya kawaida kuna mwamba kaonekana kavaa winter jacket yale majaketi ya winter watu wanavaa mtoni kwenye sub zero temperature.
Licha ya nyuzi joto 26°C lakini mwamba huyo alikuwa anajikinga na kawinter uchwara ya Dar wakati wenzake ambao alikuwa akiongea nao pembeni Steve Nyerere kavaa shati tu na makonda.
Ila sisi wabongo kwa kuiga tu.
adriz de mbusii