Mapacha walioungana wafaulu mtihani wao wa kidato cha sita

NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
795
1,000
HUJAFA hujaumbika na siku zote Mungu ni mwema na Mungu ana makusudi yake ni wa ajabu kwa sababu maajabu yake ni makubwa na ukuu wa Mungu unajidhihirisha katika muujiza wa watoto mapacha waliozaliwa wakiwa wameungana kiwili wili Consolata na Maria Mwakikuti ambao sasa wana ndoto ya kujiunga chuo kikuu.

Mapacha hawa wameungana kuanzia kiunoni wanatumia miguu miwili , mikono mine kila mmoja na yake na vichwa viwili kwa maana kila mmoja na kichwa chake ni wacheshi na wanaopendana kupita kiasi.

Katika mtihani wao wa kidato cha sita kila mmoja alikuwa na namba yake (maria 0639/545 na consolata 0639/516 na wote wamefaulu kwa matokeo yanayo fanana DIV. TWO ya point 10 kila mmoja, Wao wana ndoto za kwenda chuo kikuu kusomea ualimu.

Hist-D, Kisw-C, Engl-C . HONGERA SANA KWAO, HAKIKA MUNGU ANA MAKUSUDI NA WATOTO HAWA

MAPASHA-1.jpg
1.jpg
 

Attachments

  • 12_10_nxpfab.jpg
    File size
    478.5 KB
    Views
    896

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,380
2,000
Sasa niwakati was serikali kumtua rasmi huyo mama mlezi majukumu mazito maana ameonesha dhamira njema kwamabinti hao,hongera sana mama sasa jivunie kuwalea

Ndalichako wacha maneno somesha wahitaji hao mama mlezi nae apumzike.Sio mawaziri msubiri hadi kila kitu mh.Raisi kila msaada wakutoa mahali awaelekeze
 

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,464
2,000
Sasa niwakati was serikali kumtua rasmi huyo mama mlezi majukumu mazito maana ameonesha dhamira njema kwamabinti hao,hongera sana mama sasa jivunie kuwalea

Ndalichako wacha maneno somesha wahitaji hao mama mlezi nae apumzike.Sio mawaziri msubiri hadi kila kitu mh.Raisi kila msaada wakutoa mahali awaelekeze
Andiko lako limenigusa sana Mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom