ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,361
- 4,109
Rejeeni tangazo la uuzwaji wa viwanja kwa kupitia serikali ya vijiji.
Mi binafsi nimeshuhudia mgogoro mkubwa wa viwanja kange kasera kwa watu walionunua kuputia serikali ya kijiji kwani mwenye kiti hakuwa na kumbu kumbu sahihi kuwa wapi pameuzwa wapi bado.
Ningependa kujua kutoka kwa watu wa ardhi kam hivi vimepa baraka yao.