Sehemu nzuri ya starehe Mwanza ni ipi?

Joseph Kasa-Vubu

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
212
322
Natarajia kuwa Mwanza kwa wiki mbili kuanzia tarehe 22 mwezi huu.Kwa wanaoifahamu Mwanza vizuri ni sehemu gani nzuri kwa starehe Mwanza.

Kama hujui usichangie tafadhali.
 
Nenda mtaa wa igogo kuna hotel nzuri sana,,zipo nyingi tu 5star na beach za kufa mtu.
 
Kwenye daraja la rocky city mall itapendeza zaidi. Tulienda siku ya xmass tulifurahi kwa kweli.
 
Natarajia kuwa Mwanza kwa wiki mbili kuanzia tarehe 22 mwezi huu.Kwa wanaoifahamu Mwanza vizuri ni sehemu gani nzuri kwa starehe Mwanza.

Kama hujui usichangie tafadhali.
https://biashara.cybo.com/TZ-biz/kvcc
Viwanja kibao we choka mwenyewe!
Upako Michungani, kwenye kanisa la Ukombozi,
1. Kvcc
5.0  · +255 657 117 012

Kirumba, Mwanza, Tanzania
DINI, MAKANISA
2.
St. Francisco of Asiz
5.0 

B 6
DINI, MAKANISA
3.
EAGT Lumala Mpya
4.0  · +255 784 749 040 · Fungua Sasa

Church, Mwanza
DINI, MAKANISA
4.
Jimbo la mwanza kati Pasiansi ELCT/ELVD
5.0 
· elvd.net
Pasiansi, Mwanza, Tanzania
DINI, MAKANISA
5.
ELVD Angaza Parish Igoma
4.0  · +255 767 697 526
· www.elct-elvd.org
B 6, Mwanza
DINI, MAKANISA
6.
AICT Buzuruga Church
4.5  · +255 754 996 669

Mwanza, Tanzania
DINI, MAKANISA
7.
Sinai Church
5.0  · +255 684 030 589

Mwanza, Tanzania
DINI, MAKANISA
8.
Kirumba Roman Catholic Church
5.0 

Kitangiri, Mwanza, Tanzania
DINI, MAKANISA
9.
Bugando Catholic Church
3.5  · +255 763 463 439

Wurzburg Road, Mwanza
SHULE YA MSINGI YA MSINGI NA, MAKANISA
10.
Nyakahoja Primary School
4.0  · +255 28 250 0571

Ilemela, Mwanza, Tanzania
DINI, MAKANISA
11.
ELVD Yerusalemu Mabatini Parish
3.0  · +255 767 697 526

B 6, Mwanza
DINI, MAKANISA
12.
Bugalika catholic church
3.0  · +255 763 463 439

Pamba, Mwanza, Tanzania
DINI, MAKANISA
13.
ELVD Yerusalem Misungwi Parish
2.0 

Misungwi, Tanzania
DINI, MAKANISA
14.
ELVD Upendo Jiwe Kuu Parish
1.0  · +255 767 697 526
· www.elct-elvd.org
CCM kirumba Road, Mwanza
DINI, MAKANISA
15.
ELVD Bethel Kiloleli Parish
1.0  · +255 767 697 526

Makongoro Road, Mwanza
DINI, MAKANISA
16.
Seventh-day Adventist Church
2.5  +255 767 391 577

Mwanza, Tanzania
DINI, MAKANISA
17.
ELVD Yerusalemu Buyagu Parish
3.0  +255 767 697 526
· www.elct-elvd.org
Sengerema, Tanzania
DINI, MAKANISA
18.
Elvd Emanueli Sengerema Parish
3.0  +255 767 697 526
· www.elct-elvd.org
Geita, Tanzania
DINI, MAKANISA
19.
ELVD Sayuni Parish Bugando
2.5  +255 767 697 526

Wurzburg Road, Mwanza
DINI, MAKANISA
20.
ELVD Yeriko Magu Parish
2.5  +255 767 697 526

B 6, Mwanza
 
Nenda Bundasliga Kiloleni, chimbo jipya. Bia, mishkaki, supu, michemsho, muziki, totoz na parking Ya kutosha
 
Habari ya mujini daraja la furahisha piga selfiee weeee kisha zama city mail halafu kawatembelee wamasai kuleeee darajan kwao ukimaliza ingia makoroboi

Ila watu wa dar mkijaga mwanza full mashauzi utadhan mkienda msalan mnatoaga mzigo wa dhahabu
 
Back
Top Bottom