Hili la 15% za HESLB serikali iliangalie upya

Mgegedo

Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
91
Reaction score
89
Kiukweli tunakubali kabisa kwamba tulichukua mikopo kipindi tunasoma elimu ya juu na tunapaswa kuirejesha ili wengine waweze kukopeshwa lakini hizi asilimia 15% zilizoongezwa kutoka asilimia 8% zinatuumiza sana.

Nadhani ni vyema serikali ikapitia tena ongezezo hili mana kiukweli hali ni mbaya sana sababu kinachopatikana mwisho wa mwezi baada ya makato ni aibu hata kuhadithia.Ukikatwa PAYE,NSSF na 15% za HESLB kinachobaki kwakweli unaweza ukalia na ukatamani hata kuacha kazi.

Najua wengi humu wanakawaida ya kubeza kwamba ooooh mlichukua lazima mlipe especially wale ambao hawakua na vigezo vya kupata mkopo toka HESLB, sisi hatujakataa kulipa ila ila hili ongezeko toka aslimia 8% za awali mpaka kufikia 15% ndo zinazotuumiza.

Tunaomba serikali iangalie upya hili suala.Najua humu kuna watu mbalimbali wakiwemo viongozi hivyo watatusaidia kufikisha ujumbe sehemu husika.

Asante.
 
654f5eca027f43424a19ce7e1d294b7f.jpg
 
Attachments

  • IMG-20180118-WA0001.jpg
    IMG-20180118-WA0001.jpg
    34.2 KB · Views: 24
Kiukweli tunakubali kabisa kwamba tulichukua mikopo kipindi tunasoma elimu ya juu na tunapaswa kuirejesha ili wengine waweze kukopeshwa lakini hizi asilimia 15% zilizoongezwa kutoka asilimia 8% zinatuumiza sana.

Nadhani ni vyema serikali ikapitia tena ongezezo hili mana kiukweli hali ni mbaya sana sababu kinachopatikana mwisho wa mwezi baada ya makato ni aibu hata kuhadithia.Ukikatwa PAYE,NSSF na 15% za HESLB kinachobaki kwakweli unaweza ukalia na ukatamani hata kuacha kazi.

Najua wengi humu wanakawaida ya kubeza kwamba ooooh mlichukua lazima mlipe especially wale ambao hawakua na vigezo vya kupata mkopo toka HESLB, sisi hatujakataa kulipa ila ila hili ongezeko toka aslimia 8% za awali mpaka kufikia 15% ndo zinazotuumiza.

Tunaomba serikali iangalie upya hili suala.Najua humu kuna watu mbalimbali wakiwemo viongozi hivyo watatusaidia kufikisha ujumbe sehemu husika.

Asante.
ni ukiukwaji wa mkataba ila hakuna wa kutupigania! Si, serikari yenyewe,cwt, tukta wala bunge! Ila ndo tunafanya kinyonge kwa kuwa njaaa!
 
Serikali tena mkuu!! Cyo tu organise tutafute mwanasheria tuipeleke serikali/waajiri mahakamani kwa kuvunja mkataba, ni asilimia 8 na so 15. Kilichofanyika no uhuni uliochupa mipaka.unaiomba....serious mkuu!? Kwa serikali Ipi!? Hii ya Magufuri!?
Pili, ktk nchi makini suala hili ikipashwa kufanywa na vyama vya wafanyakazi lkn c hapa kwetu. Kyo mkuu tuamue kuiburuza serikali mahakani au kupiga porojo mitandaoni.
Further more nothing can be done under Magufuli's régime, don't ever expect that one day government will sophisticate the laws of which they broke themselves
 
Kuajiriwa ni utumwa mbaya sana, na ukiwa mtumwa kubaliana na kila jambo la Bwana wako.
 
Kuepuka yote hayo ni kujiajiri tuone watakupata wapi, tena biashara zako una sajili kwa jina lingine. Haiwezekani wao wasome bure sisi watudai.
 
Kiukweli tunakubali kabisa kwamba tulichukua mikopo kipindi tunasoma elimu ya juu na tunapaswa kuirejesha ili wengine waweze kukopeshwa lakini hizi asilimia 15% zilizoongezwa kutoka asilimia 8% zinatuumiza sana.

Nadhani ni vyema serikali ikapitia tena ongezezo hili mana kiukweli hali ni mbaya sana sababu kinachopatikana mwisho wa mwezi baada ya makato ni aibu hata kuhadithia.Ukikatwa PAYE,NSSF na 15% za HESLB kinachobaki kwakweli unaweza ukalia na ukatamani hata kuacha kazi.

Najua wengi humu wanakawaida ya kubeza kwamba ooooh mlichukua lazima mlipe especially wale ambao hawakua na vigezo vya kupata mkopo toka HESLB, sisi hatujakataa kulipa ila ila hili ongezeko toka aslimia 8% za awali mpaka kufikia 15% ndo zinazotuumiza.

Tunaomba serikali iangalie upya hili suala.Najua humu kuna watu mbalimbali wakiwemo viongozi hivyo watatusaidia kufikisha ujumbe sehemu husika.

Asante.
☹☹☹☹
Mwanangu utamaliza chuo baada ya miaka 25......

Jumla ya ada yako ni tsh milion 16,800,000/= .

Tanzania itakupa Mshahara laki Tsh.700,000/= .... kwa degree yako....ila toa asilimia 10% Nssf (70,000/=)...kodi asilimia 9% (63,000/=)...Helsb asilimia 15% (105,000/=)...NHIF asilimia 3% (21,000/=)...utabakiwa na laki Tsh.441,000/=.....toa nauli kwa mwezi Tsh 90,000/=..toa chakula cha mchana Tsh.90,000/=..toa pango Tsh.100,000/=...toa chakula cha nyumbani elfu Tsh.90,000/= toa gharama za kiwi na doby + nguo za ofisi Tsh. 30,000/=.......utabakiwa. na elfu "Tsh. 41,000
/ toa bill ya maji 10,000/=, na Billi ya umeme 20,000 utabaki na 11,000/ , weka na Chupa ya maji ya kunywa ya 600 /= ya bakheresa .hapo naona mwanangu Kama utakuwa unadaiwa kila mwezi duh!! Basi komaa hivyo hivyo siku ziende.
Ukitaka kupiga simu tuma tafadhali nipigie maana huna badget ya vocha na pesa imekwisha. lakini pia usisahau kutoa zaka na sadaka .
Usiruhusu wageni kuja kukutembelea, maana hutokuwa na pesa ya kuwanunulia hata soda, . .Aya jitahidi Mwanangu shule njema angalia usigongwe na Bodaboda kwa mawazo ya maisha [emoji134][emoji134][emoji87][emoji87]
 
kuna ticha wa sekondari yy Kashasepa zake shamba aliona anajaza maji Kwenye gunia
 
Waongeze wawe wana tukata 35% ili tumalize makato yao haraka bwana
 
Mimi nilichokifanya ili kufidia hiyo pesa wanayokata,naenda kazuni mara 3 kwa wiki na hizo siku tatu maishia saa saba mchana badala ya saa kumi na nusu huu muda nashinda kwenye miradi yangu ambayo hunipatia si chini ya 400000 kwa mwezi,na ili nisijutie kuajiriwa navizia mikope crdb kwa mshshara to the maximum hata wakinifukuza kazi kwa utoro ntakuwa na pakushikia.TUMBO KWANZA UZALENDO(FAMILIA) BAADAE
 
Ili den liishe faster au sio
Suala sio deni kuisha fasta, suala ni kutoa hamasa kwa wafanyakazi kudai haki zao, hii 15% naona imewaumiza wengi lakini wamevumilia kimya kimya.
Sasa wakifikisha 25% nadhani wafanyakazi wataona umuhimu wa kuvichangamsha vyama vyao vitimize wajibu na sio kukaa tu na kwenda kujipendekeza kwa serikali.
Ngoja sisi tuliojiajiri tuendelee kuangalia jinsi serikali italavyoendelea kuwakamua.
 
Nimeona avatar, yako wewe kweli una akili za ki CCM. Falsafa hii ndio imetumiwa na viongozi wetu kutufikisha hapa
 
Suala sio deni kuisha fasta, suala ni kutoa hamasa kwa wafanyakazi kudai haki zao, hii 15% naona imewaumiza wengi lakini wamevumilia kimya kimya.
Sasa wakifikisha 25% nadhani wafanyakazi wataona umuhimu wa kuvichangamsha vyama vyao vitimize wajibu na sio kukaa tu na kwenda kujipendekeza kwa serikali.
Ngoja sisi tuliojiajiri tuendelee kuangalia jinsi serikali italavyoendelea kuwakamua.
You nailed it
 
Back
Top Bottom