TAMISEMI msituumize watumishi wa umma kwa kuchelewesha mishahara

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
495
Ni mdogo wangu kaajiriwa hivi mwaka Jana October 2017 kada ya afya. Analalamika mpaka leo MISHAHARA hakuna. Hivi kweli sera ya good Governance inatumika vizuri?

Miezi minne mtu yuko kijijini hana mshahara si bora angebaki nyumbani hadi mishahara itoke maisha yenyewe magumu kiasi hiki.

Mheshimiwa Rais hiki kilio kikufikie.

Asanteni
 
MPE Poole sana kijana mwambie kwenye barua ya Ajira si alisema wqko mtiifu.by the way kazi bila MISHAHARA ni changamoto tena sehemu nyeti kama AFYA MTU anaweza kuua kiss mawazo
 
MPE Poole sana kijana mwambie kwenye barua ya Ajira si alisema wqko mtiifu.by the way kazi bila MISHAHARA ni changamoto tena sehemu nyeti kama AFYA MTU anaweza kuua kiss mawazo
Inasikitisha ilhali wengi wanasoma kukimbilia serikalini .MW. RAIS ifike mahali serikali iandqe mazingirq mazuri kabla ya kuajiri.
 
Tanzania watumishi ni wanachukuliwa kama mbwa tu.Watumishi ikataeni ccm,undeni mkakati itoke vinginevyo mtapata tabu sana.

*Taifa limegawanyika kabisa
Tatzo sio ccm tatizo ni serq za wewe Utumishi wa umma zifuatwe
 
Kimbilio kubwq la vijana wengi ni kusoma na kuitumikia serikali ifike mahali miainisho ya kiuongozi ifuatwe sawa sawa na Sera ya utawala bora
 
Back
Top Bottom