Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,535
- 61,972
Nimekuwa nasikia jina la huyu jamaa Jidula Mabambasi kwa siku nyingi lakini sijapata jibu sahihi.
Naombeni mnijuze huyu jamaa alikuwa ni nani, na pia ni nini kilimuua ghafla miezi michache kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010?