Mtukufu Magufuli atawale milele

Mtukufu Magufuli atawale milele

Joined
Jan 13, 2018
Posts
38
Reaction score
50
Kwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa watanzania wehu na wasio na akili wanaanza kumkosoa na kumbeza.Nawaambieni mtakuja kumkumbuka magu.huyu ndie baba wa watanzania wa duniani.shauri yenu msiojua thamani ya hili jembe.
Ninashauri vyombo husika kama bunge nk waanze kuchukua hatua ili kumfanya mzee atawale tu.sasa mkisema katiba inavunjwa potelea mbali lkn binafsi sijaona wa kuachiwa nchi.baadhi ya vifungu vibadilishwe ili mzee apate nguvu.we love you mr magu,we love tanzania.tawala baba.
 
Ningekua mimi ndo magu ningekua hata dikteta ili nisiiache tz irudi ilikotoka
 
Umesoma ripoti ya IMF?.
Au unaogopa kwakua hawajapewa kibali?.
I some kisha ueudi ujazie uzi wako please.
 
Kwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa watanzania wehu na wasio na akili wanaanza kumkosoa na kumbeza.Nawaambieni mtakuja kumkumbuka magu.huyu ndie baba wa watanzania wa duniani.shauri yenu msiojua thamani ya hili jembe.
Ninashauri vyombo husika kama bunge nk waanze kuchukua hatua ili kumfanya mzee atawale tu.sasa mkisema katiba inavunjwa potelea mbali lkn binafsi sijaona wa kuachiwa nchi.baadhi ya vifungu vibadilishwe ili mzee apate nguvu.we love you mr magu,we love tanzania.tawala baba.
Hayo maoni yako si mabaya lakini vile vile ujifunze kuangalia maoni ya wengine, raisi Magufuli ni msimamizi mzuri wa serikali sijui ndani ya chama chake, lakini lazima akubali yeye si mwanasiasa mzuri hivyo muda wake ukimalizika CCM kama walivyomleta Magufuli basi watuletee kiongozi mwenye kuwa na ujuzi wa mambo ya siasa pia. Kwani kutowaruhusu vyama vya upinzani kufanya siasa ni udhaifu wa kukomaa kisiasa. Inatosha utendaji wake wa kazi kuwa ni turufu ya kushinda mioyo na akili za wantanzania wengi, ilikuwa haina haja ya kuzuia vyama vya upinzani kunyimwa kufanya siasa. Hayo ni maoni yangu tu.
 
Kwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa watanzania wehu na wasio na akili wanaanza kumkosoa na kumbeza.Nawaambieni mtakuja kumkumbuka magu.huyu ndie baba wa watanzania wa duniani.shauri yenu msiojua thamani ya hili jembe.
Ninashauri vyombo husika kama bunge nk waanze kuchukua hatua ili kumfanya mzee atawale tu.sasa mkisema katiba inavunjwa potelea mbali lkn binafsi sijaona wa kuachiwa nchi.baadhi ya vifungu vibadilishwe ili mzee apate nguvu.we love you mr magu,we love tanzania.tawala baba.
Umetumwa kupima upepo?
 
Afanye kazi vizuri au vibaya awamu ni mbili tu.

Hakuna kuongeza muda wala miaka hata saa moja hawezi kuongezewa.

Katiba hapo lazima isimamiwe na hakuna kubadilishwa huko kwenye baby care center ya kunywa maziwa ya NIDO, kujizungusha kwenye viti kisha wanasinzia.

Yaani, JPM 2015 hadi 2025.
 
Kwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa watanzania wehu na wasio na akili wanaanza kumkosoa na kumbeza.Nawaambieni mtakuja kumkumbuka magu.huyu ndie baba wa watanzania wa duniani.shauri yenu msiojua thamani ya hili jembe.
Ninashauri vyombo husika kama bunge nk waanze kuchukua hatua ili kumfanya mzee atawale tu.sasa mkisema katiba inavunjwa potelea mbali lkn binafsi sijaona wa kuachiwa nchi.baadhi ya vifungu vibadilishwe ili mzee apate nguvu.we love you mr magu,we love tanzania.tawala baba.
Pumbavu
 
KAPOSI SARCOMA nakuonea huruma kansa imekusambaa hadi kwenye fikra.
Kaposi's sarcoma ( KS ) is a type of cancer that can form in the skin , lymph nodes, or other
organs . The skin lesions are usually purple in color. They can occur singularly, in a limited area, or be widespread. It may worsen either gradually or quickly. Lesions may be flat or raised. Human herpesvirus 8 (HHV8) is found in the lesions of all those who are affected. Risk factors include poor immune function, either as a result of disease or specific medications, and chronic lymphedema .

Kwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa watanzania wehu na wasio na akili wanaanza kumkosoa na kumbeza.Nawaambieni mtakuja kumkumbuka magu.huyu ndie baba wa watanzania wa duniani.shauri yenu msiojua thamani ya hili jembe.
Ninashauri vyombo husika kama bunge nk waanze kuchukua hatua ili kumfanya mzee atawale tu.sasa mkisema katiba inavunjwa potelea mbali lkn binafsi sijaona wa kuachiwa nchi.baadhi ya vifungu vibadilishwe ili mzee apate nguvu.we love you mr magu,we love tanzania.tawala baba.
swissme
 
Tunaheshimu mawazo yako japo ni ya kijinga
 
Back
Top Bottom