Mh. Waziri wa Nishati tafadhali tupia macho TANESCO Wilaya ya Hai.
Wanafanya kazi kwa mazoea na kila unapoenda kwa ajili ya huduma ni watu wa njoo kesho njoo kesho bila kujali wateja wanatoka mbali kwa ajili ya kufuata huduma.
Pia lipo tatizo katika kupata huduma ya kuunganishiwa umeme na wahusika wamekuwa wakifanya kazi kwa mazoea ikiwemo kuchelewesha makusudi uunganishaji wa umeme bila sababu pamoja na wateja kulipia huduma hiyo kwa muda mrefu.
Viongozi husika chukueni hatua.