Machmadem
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 758
- 945
Mimi nakumbuka shule kipindi hicho umetoka zako kwenye pepa la mathe unakuta wale wataamu wa namba wanabishana swali la 9 jibu
ni n-3 wakati wewe huku umepata jibu
453,897.
APO NDIPO NILIKUWA NAKUMBUKA
KWANINI MAVI HAYANA MWIBA LAKINI UKIYA KANYAGA LAZIMA UCHECHEMEE.
Karibu tukumbushane wewe unakumbuka nini? .
ni n-3 wakati wewe huku umepata jibu
453,897.
APO NDIPO NILIKUWA NAKUMBUKA
KWANINI MAVI HAYANA MWIBA LAKINI UKIYA KANYAGA LAZIMA UCHECHEMEE.
Karibu tukumbushane wewe unakumbuka nini? .