Wadau habari za Jpili
Ndo kwanza tupo katikati ya januari, kwa wale tuliochelewa kupanga malengo kabla ya mwaka huu kuisha ,bado tuna refine malengo yetu ili kupambana na yatakayojiri mwaka huu .
Kati ya malengo mhimu kwa kila mtu ni kujiongezea kipato ili kuwa na maisha bora yenye ustawi. Hivyo wakulima wanapambana mashambani, wafanya biashara nao pia wanapambana ,hali kadharika watumishi sekta za umma na binafsi nao wanajibidiisha.
Ukweli kila mtu ana uzoefu wake tofauti ambao amekwisha upata katika mambo ya utafutaji. Kwani maishani kila mtu ana story yake ya maisha. Leo nataka tushee uzoefu wetu, hasa ambao tuna mabosi ambao tunazani yapo mengi ya kujifunza kwao, ilikuaje mpaka wakatususua maishani. Kwani ninadra sana matajiri wa kiafrika kuandika vitabu ni kwa namna gani waliweza kuwa matajiri kama wenzao wa ulaya wafanyavyo.
Ila sisi tunaishi nao kila siku, wengine ni baba zetu, mama zetu, wajomba na kaka zetu. Japo hatuwezi yajua yote yaliyomo ktk maisha yao, kwani maisha ya mtu ni siri kubwa, ila kiasi tunaweza dadisi kuhusu undani wa maisha ya ukwasi wao.
Je ni kweli kila tajiri ni bahili?
Je ni kweli kila tajiri lazima awe mtu wa ndumba au ushirikina?
Je ni kweli huwezi tajirika mpaka ufanye dili halamu, au uwaibie watu either kisomi au kwa ubabe?
Hypothesis ni nyingi...ila karibu utupe uzoefu wako katika suala la kutafuta pesa na kutoboa maishani. Natanguliza shukrani zangu.
Regards.