MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,513
Kumbe hii shida ya kukatikakatika kwa umeme ni kutokana na chanzo muhimu kufungwa.
Mtambo wa IPTL ndio kwa kiwango kikubwa ulikuwa unahimili shida ya umeme nchini.
Tangu mkataba wake kuzimwa na mitambo kusimama huku akkiendelea kulipwa kapasiti chaji[emoji1][emoji52]ndio inatukost.
WAACHIENI HAWA Watu waje kuendelea kuhudumia umeme mpaka hapo tutakapoweza kutembea wenyewe. Sasahivi ubavu wa kucmama dede na kutembea wenyewe kwa miguu yetu hatujafikia bado[emoji196]