Habari wanajukwaa na wote kwa ujumla. Tafadhali sana mods naomba msiondoe huu uzi sababu nimefikiria itakua very helpful kwa ajili ya kuripoti utapeli unaofanyika haswa kwenye eneo la kutafuta...
Kibo walikuwa wameomba licence ya kuzalisha umeme kwa kutumia makaa ya mawe. Lakini siku za karibuni wamekuwa kimya.
Je serikali imenyima licence?
Kama serikali imekataa kuwapa licence...
Nimebahatika kujumuika na wadau (wananzengo) kwenye fukwe za Ukerewe kipindi flani kimepita, hizi ni tofauti kabisa na fukwe nyingi duniani kama sio Tanzania.
1:Kule tunaogelea uchi wa mnyama...
Kipindi kama hiki kwa miaka mingi sana ndio mgao wa umeme hushika kasi , sasa kama tunatumia gesi ( ya songosongo au ya Mtwara ) , kama ni kweli kwanini hakuna umeme wa uhakika ?
Kuna wakati...
Natumaini hamjambo wadau wa mashairi na fasihi kwa ujumla.
Baada ya kumaliza kuandika kitabu changu cha ushairi kwa lugha ya kiingereza kinachoitwa 'SONGS OF AFRICAN FATHERS'
kitabu hiki...
Kwenu halotel Tanzania naomba mtusaidie kukamata watu hawa matapeli waliotumia mtandao wenu kutapeli watanzania wanajiita MKOMBOZI ASSOCIATION PLATFORM FORM GEITA naamini kwa kushirikiana na...
Mtaalamu na Mshauri wa Masuala ya Saikolojia kutoka Taasisi ya Ustawi wa Jamii Tanzania, Zainabu Rashidi amesema mimba za utotoni zinaathiri mwenendo na tabia za msichana ambapo asipopata matibabu...
Hakika nimefarijika sana iwapo watatokea wapinzani wanifahamishe ugumu Wa maisha ila furaha itakuwa kubwa sana Kwa wenye Serikali (CCM) watajitokeza Kwa wangi kuielezea hii hali.
kiukweli, Airtel ni mtandao makini, baada ya kushindwa kupokelewa fedha kiasi cha laki 5 kwa mtu niliemtumia, huduma kwa wateja walifanya jitihada kubwa sana. Walinipigia simu zaidi ya mara 3 ili...
Nchi ya Tanzania itaendelea kuwa masikini paka pale atakapopatikana kiongozi Mwenye maono na hekima ya Mungu.
Haiwezekani asilimia kubwa ya watawala wetu wanategemea waganga alafu watutoe kwenye...
Sasa ashitakiwa kwa Waziri Mkuu
Ni kuhusu kusitisha nauli za kivuko
JK naye ajulishwa kuhusu mashitaka
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli
Upinzani dhidi ya nauli mpya za huduma za...
Habari zenu wadau.
Kuna kitu huwa sikielewi Kwa hawa ma engineer wanaojenga barabara zinazokatisha katikati ya bahari .
kwetu naona iko moja tu Na siwezi sema Ni barabara lile Ni...
Hivi karibuni kumekuwa na mwelekeo wa kutokea mgomo ukiwahusisha TABOA na wamiliki daladala Dar. Punde tukasikia naibu waziri kaingilia kati na kusimamisha yaliyokuwa sheria mpya zisizohusisha...
Sijui nilini Mungu atatusaidia tupate watendaji wabunifu,leo malori yanayosubiri kuvuka mpaka kwenda nje yatanganyika yamejipannga hadi kijiji cha Ihanda km 29,ivi zile hela tulizonunulia ndege...
Naona kila mara yanapokuwepo matatizo, utasikia waziri husika amepinga kuwa taarifa flani ya uongo.
Hii imejitokeza kuanzia sekta ya afya, maji, elimu, uchumi, ulinzi nakadhalika.
Waziri wa...
Habari wakuu ,
Jana nilikuwa kwenye daladala nikielekea posta, kwa pembeni yangu kulikuwepo na mzee mmoja ambaye alikuwa anaelekea ubongo terminal ,katika kupiga story za hapa na pale yule mzee...
Wakuu nawaza kitu hapa,
Ni miezi kama mitano au minne tangu ndege yetu izuiliwe kuja kwetu kwa sababu za kisheria na madai. Nauliza tukiweka kibiashara hasara ya kutolipa na kuipata hiyo ndege...
UPDATE 1-Tanzania suffers national power outage after technical fault-supply company
By Fumbuka Ng‘wanakilala
DAR ES SALAAM, Nov 30 (Reuters) - Tanzania was hit by a country-wide blackout early...
Hii maada naipandisha kwa kero kubwa
Hapa Mwanza suala la mabinti wa chuo cha SAUT kujiuza ilikuwa kawaida sana, mtu mgeni akija, akitaka manzi wa kupozeaa anaambiwa subiri watoto wa SAUT, hasa...