Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,524
- 5,785
Habari wanajukwaa na wote kwa ujumla. Tafadhali sana mods naomba msiondoe huu uzi sababu nimefikiria itakua very helpful kwa ajili ya kuripoti utapeli unaofanyika haswa kwenye eneo la kutafuta kazi, biashara na mengineyo.
Hii itasaidia sana kuwa expose hapa matapeli kama sio wa humu basi sehemu nyingine ili jamii husika ijue ama iwajue na wachukue tahadhari. Kwaio hapa tunaweza kuweka emails tunazotumiwa za utapeli ama namba zao za simu ama chochote kinachohusiana na utapeli. Pia itakua vema anayetoa taarifa za utapeli anakua na details za kutosha ili jamii ifahamu mana tunajua JAMII FORUM iko kwa ajili ya watanzania wote na marika yote na hata nchi zingine pia.