Kibali cha Kibo walichoomba kuzalisha Umeme kimeishia wapi?

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,602
2,000
Kibo walikuwa wameomba licence ya kuzalisha umeme kwa kutumia makaa ya mawe. Lakini siku za karibuni wamekuwa kimya.

Je serikali imenyima licence?

Kama serikali imekataa kuwapa licence.

Msimamo wa serikali ni upi kwa private companies kuzalisha umeme?

Harakati za serikali Kuanza ujenzi wa Stigler’s Gorge umefikia wapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom