Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna roho nyingi zinazofanya kazi. Kazi za kusonga Na kazi ya kubomoa. Kazi ya kupatanisha Na kazi ya kufarakanisha. Roho ya uharibifu ni roho yenye nguvu sana. Itaharibu ndoa yako, gari yako...
19 Reactions
79 Replies
8K Views
Madai haya yaliyotolewa na mwanachama anayeitwa ikipendaroho kuwa TBS haifanyi kazi ipasavyo kwenye uzi huu TBS wanarudisha nyuma utowaji wa mizigo bandarini.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Inaelezwa kuwa matumizi ya nishati asilia ni kichocheo kikubwa cha maambukizi ya mfumo wa upumuaji (Acute Respiratory Infection) ambayo yanaongoza kusababisha vifo vya watoto walio chini ya miaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natoa rai kwa Wizara hii inayohusika na jinsia na watoto ambapo nadhani pia kitengo cha ustawi wa jamii ni idara iliyoko chini yake kuweka mkakati wa kuwasaidia hawa single mothers. Juzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakurugenzi wa Kampuni ya Sixtelecom, Peter Noni na Dk.Ringo Tenga, Ofisa Mkuu wa Fedha, Noel Chacha na Mhandisi wa Kampuni hiyo, Rashid Shamte, wamefikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa...
3 Reactions
241 Replies
54K Views
Kiukweli had ifike 2020 kama upinzani hawajapata namna ..ni ngumu saana,..nafahamu kuna watu hawapendi kukubaliana na uhalisia na ukweli, ila kama hukubaliani basi sawa ila kuichomoa CCM...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu natanguliza salamu Bila shaka mnakumbuka hili sakata la waliofukuzwa magomeni kota na baadaye Dr Magufuli akaamua zijengwe ghorofa na wahanga wapewe kipaumbele. Sasa kwa vile imebainika...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mchungaji wa usharika mmoja mkubwa jijini Dsm anataka kudhulumu kiwanja chetu baada ya kumuingiza mjini msimamizi wa mirathi... Mbaya zaidi amejenga mgorofa wake na kutaka kutudhulumu. Tunaka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau Katika muendelezo wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM Mkuu wa Wilaya Arusha Mh. Gabriel Gabriel Fabian amekabidhi rasmi hundi ya Tshs 500 milioni ambazo ni kwa ajili ya mikopo kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Akizungumza katika mahafali ya 19 ya Chuo cha Uhasibu Arusha, wakati akitunuku vyeti vya ngazi na kozi mbalimbali kwa wahitimu 1,324 mwishoni mwa wiki. Dk. Kijaji alisema baadhi ya wataalamu wa...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
MTOTO wa miaka saba aliyelelewa kama mtoto wa kike kutokana na maumbile yake kutoeleweka vema, baada ya vipimo vyote katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ameonekana kuwa ni mwanamume, hivyo...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wadau Jumla ya Mapadri 48 wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam wameandika barua kujiondoa chini ya ulezi wa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Dk Jacob Chimeledya kwa madai ya kukosa imani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila nikitazama huku na kule sioni tena zile nyodo za watoto wa kishua maana kitambo kile kupokonywa demu na brazamen anayekaa masaki ni jambo la kawaida, Kwetu Uswazi mambo safi maisha yetu ni...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Wakuu mwenye namba za simu za Azam Tv nimelipia toka Jana saa tano asubuhi mpaka mida hii sipati chanel. Kibaya zaidi wameniachia TBC tu ambayo sina cha kuwaangalia hawa jamaa. Kwenye namba za...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Jamani naona kama hizi zama za sasa zimebadilika na sio tena zile za kusema kuwa ukimpa mtoto hela ya kula shule inamaanisha kuwa atakuwa mwizi. Maana leo nimepita shule moja ya msingi nikaona...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Nategemea nisafiri kuelekea mbeya kwa usafiri wa treni. Kama kuna anaejua ratiba na bei zake tafadhali.
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Wizara ya nishati imeendelea kushikilia msimamo wake kuwa hakuna mgao wa umeme nchini! Chanzo; AzamTV Sasa kauli yake anasema ni matatizo ya mashine kuwa ni mbovu zikitengemaa hali itarejea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanafunzi wa darasa la saba wameshindwa kufanya hesabu za darasa la pili baada ya kubainika ni asilimia 69 pekee wanaoweza kufanya hesabu hizo. Pia asilimia 48 tu ya darasa la tatu wanaweza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Zaidi ya mapadri 48 wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, wameandika barua ya kujiondoa chini ya ulezi wa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Dk Jacob Chimeledye na kudai kutoshiriki wala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana nilipita barabara ya kinondoni manyanya kwenda moroco ghafla nikasikia kishindo nyuma ya gari kijana aliyevaa viatu vya matairi(Roller shoes skating) kangangania bamba la gari langu na ufinyu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…