Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

nimatumaini yangu kuwa hamjambo wapendwa katika bwana, bila kupoteza muda naomba niende kwenye hoja yangu Kama nilivoleta Uzi wangu wa kuwataka wana jf wanisaidie kwa mambo matatu ambayo...
5 Reactions
89 Replies
7K Views
Naomba kujibiwa maana website ya Sumatra imeshindwa kunijibu viwango vilivyopo ni vya 2013 sijui afisa habari wao anakazi gani.
1 Reactions
25 Replies
11K Views
Jionee wataalam wakifanya maarifa ya kutoa gari kwwnye Tope nzito! Usisahau KuSUBSCRIBE channel yetu, Katibu.
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kitarungu Wilayani Serengeti, Thomas Marwa ametwangwa makonde na mwalimu mwenzake akiwa ofisini kwake. Tukio hilo lilisababisha masomo na shughuli zingine...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ifikapo Desemba 10 kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya Azimio la Haki za Binadamu lililoasisiwa mwaka 1948 na kuwa tamko rasmi linaloainisha haki za msingi ambazo kila binadamu anatakiwa...
0 Reactions
1 Replies
728 Views
Mpendwa Waziri Mhe.Jenista Mhagama, Nakusalimu katika uzalendo wa kulijenga taifa letu la Tanzania, ni matumaini yangu wewe ni mzima wa afya kimwili, kiroho na kiakili. Mungu azidi kukulinda na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kamanda Haule akimhoji Jianhua Xiong ndani ya kiwanda cha kutengeneza mafuta ya kupikia cha Jielong kwanini wamekiuka sheria za nchi kwa kusafirisha mawe hayo na kuyahifadhi kwenye kiwanda cha...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Napenda kuchukua fursa hii kutoa mchango wangu juu ya matumizi mabaya ya neno "Ameen " Hili neno linatokana na neno la Kiebrania "Amina" likiwa na maana ya "Na iwe hivyo." Neno hilo lilitumika...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kumezuka makanisa ya ajabu kama kanisa wanalotumia pombe kubatizia waumini na pia kutumia kileo wakati ibada ikiendelea.kuna makanisa ambayo wachungaji wawili wa jinsia ya kike kuoana wao kwa wao...
0 Reactions
33 Replies
10K Views
Wadau kwema?? Nimesikia tetesi kua Usiku huu Kanisa la ufufuo na Uzima la Gwajima linabomolewa sababu liko kwenye hifadhi ya barabara, kuna mwenye taarifa?? Ni Gwajima Mwenyewe anabomoa au...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
kumeibuka nfumo wa vyuo ambavyo tunaweza kuviita MOBILE UNIVERSITY kutokana na mfumo wa uendeshaji wake. Mfumo huu umeshika hatamu kipindi hiki ambacho kila chuo kinapambana kuhakikisha...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Tumeshuhudia nchi nyingi ambazo ni watengenezaji wa silaha za kivita ikiwemo ndege, mabomu, mizinga, vufaru na silaha nyinginezo kustaafisha na kuziondoa kwenye matumizi amabapo zimetumia garama...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Toka Jana tumeshuhudia Umahari wa Jeshi letu la Wananchi Jinsi linavyo rusha ndege zao huku Dodoma. Ila Duu unaweza toka mbio yaani anaishusha na inaachia mlio wa kurusha Roho... Natamani...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Vyombo Vya Habari Vimechangia Kupotea Kwa Mwandishi Azory Gwanda Kwasababu Viliamua KUYAFUMBIA MACHO Matukio Ya Watu Kuokotwa Kwenye Sandarusi Coco Beach, Watoto 1300 Kupotea Kibiti, Watu Kutekwa...
10 Reactions
25 Replies
48K Views
Jumla ya wagonjwa 185 katika halmashauri ya wilaya ya Nyasa walifika hospitalini kupatiwa matibabu na wagonjwa nane kufariki, wagonjwa wawili wanapatiwa matibabu sasa hivi Ugonjwa huo ulianzia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Nina mdogo wangu yupo chuo, yeye alipata mkopo 100% lakini kila mwezi anaomba wazazi hela ya matumizi, pia kodi ya chumba alikopanga ikiisha anaomba na kkulipiwa. Je ni kweli mkopo elimu...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Salaam Wandugu naomba kwa anaejua zilipo ofisi ya sheikh huyu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
It’s all starting to feel like very familiar territory now… Nothing financially bad can ever happen again. The stock market feels nice and cozy. People continue to make money. What’s not to like...
0 Reactions
4 Replies
502 Views
Inatuchukua miaka mingi ya kujitolea na kumwomba Mungu hadi kufanikiwa kujenga nyumba za ibada. Kama Magufuli hajashiriki kujenga nyumba za ibada, hajui gharama kubwa inayotupata kujenga nyumba...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Jiji la Dar es Salaam limechukua tuzo ya Bloomberg Philathropies kutokana na mradi wa mabasi ya mwendokasi DART ambao umepunguza foleni barabarani na uchafuzi wa hali ya hewa Usafiri huu...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…