Duu Hizi Ndege za Jeshi Dodoma

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,464
2,000
Toka Jana tumeshuhudia Umahari wa Jeshi letu la Wananchi Jinsi linavyo rusha ndege zao huku Dodoma.

Ila Duu unaweza toka mbio yaani anaishusha na inaachia mlio wa kurusha Roho... Natamani ningekuwa mimi ndiyo naziendesha..
 

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
22,920
2,000
Khaa Una mdomo mchafu mtoto wa kiume Kama karo la ikulu
Inaonekana na wewe hali ni moja sawa na mleta uzi, mtapanda kwa zamu wala msijali ngoja tuweke mambo sawa. Tena wewe utapanda kabla ya mwenzako inaonekana hisia zako ni za karibu kuzidi zile za mwenzio.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom