Ipi logic ya kusraafisha silaha za kivita, je zinaweza kutumika kwenye vita?

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,574
Tumeshuhudia nchi nyingi ambazo ni watengenezaji wa silaha za kivita ikiwemo ndege, mabomu, mizinga, vufaru na silaha nyinginezo kustaafisha na kuziondoa kwenye matumizi amabapo zimetumia garama kubwa kuzitengeneza.
baadhi ya silaha hizi hazijatumika vitani zaidi ya kufanyiwa mazoezi na majaribio tuu!!
je, Silaha hizi hazitotumika tena hata ikitokea vita?
 
Kama Wanajeshi waliostaafu wanaitwa "Askari wa Akiba" hivyo tutarajie hizo Silaha Kuukuu zilizostaafishwa zitatumika zitakapohitajika tu.., by then naamini huu Mjadala hautatupeleka kwenye kuzungumzia Vifaa vya Jeshi!
 
sawa mkuu ina maana wanazirudisha ghalani zinahifadhiwa zitapohitajika zinatumika
 
Kuziondoa kwenye matumizi ni kwa sababu zipo outdated wameshaunda zingine more sophisticated,nchi kama marekani hupeleka zana hizo makumbusho ,yapo makumbusho ya ki jeshi,hata vita ikitokea havitotumika
 
Hapana., nyingi zinakuwa wameziboresha kwa kuzitolea matoleo Mapya na ya Kisasa zaidi, ila nyingi zinakuwa zimeshatumika na wanajuwa Ufanisi wake hivyo kama wakiona kuna haja ya kurejea toleo la nyuma kwa kuliboresha ili liingie kazini huwa inafanyika hivyo!
 
Hizo silaha zilizostaafishwa huuziwa nchi za afrika kwa bei mara 10 ya silaha mpya. Cc: Radar ya BAE systems.
 
kwa huyo unataka kusema silaha zilizotumika miaka ya 1960 zinauzwa ghali kuliko za mwaka 2016??

haha!
 
Kuziondoa kwenye matumizi ni kwa sababu zipo outdated wameshaunda zingine more sophisticated,nchi kama marekani hupeleka zana hizo makumbusho ,yapo makumbusho ya ki jeshi,hata vita ikitokea havitotumika
kwa nn zisitumike kwa sababu kuna ambazo hazijatumika kwenye vita yoyote na bado mpya??

au watuuzzie kwa discount KUBWA?
 
kwa huyo unataka kusema silaha zilizotumika miaka ya 1960 zinauzwa ghali kuliko za mwaka 2016??

haha!
Kabisa,sasa kama hata kiwanda cha mkuki tu kinakushinda, hata ukipewa silaha ya world war 1 na ukauziwa ghali kuliko silaha ya 2017 utajuaje?
 
nakumbuka WAPIGAJI walivyopiga kwenye hiyo issue ya radar kwanza ilikuwa moja ilinunuliwa kwa $40m ,na baada ya heka heka za kuwabana ikagundulika kuna $12.4m zilienda kwa middleman huyu ni yule JOKA LA MAKENGEZA na hii skendo ilimpiga chini, baada ya wale BAE kuonekana wanashirikiana na kichaka cha majizi ya Tanzania wakasema watarudisha dola 29milion lakini wakazielekeza kwenye ELIMU lakini nahisi na huko zilipigwa pia kwa sababu ilikuwa serikali ya 4 ya business as usual :::::IKUMBUKWE SERIKALI YA AWAMU HII IMENUNU RADAR 5 UPDATED KWA BILION 50 TU ZA KITANZANIA , TUKIWAAMBIA HII NCHI ILIKUWA IMEHALIBIKA,,, ACHA MAGUFULI ATUTENGENEZEE HAMUELEWI.:eek::eek::eek::eek::eek::eek:
 
hapo kwenye bold ndo umeharibu
 
Back
Top Bottom