Vyombo vya habari vimechangia kupotea kwa mwandishi Azory Gwanda?

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,581
11,658
Vyombo Vya Habari Vimechangia Kupotea Kwa Mwandishi Azory Gwanda Kwasababu Viliamua KUYAFUMBIA MACHO Matukio Ya Watu Kuokotwa Kwenye Sandarusi Coco Beach, Watoto 1300 Kupotea Kibiti, Watu Kutekwa Hovyo Kila Siku, Laiti Kama Wangekemea Vitendo Hivi Leo Mwahabari Wao Asingepotea

Kuna wakati walipotea watu wa Kawaida..Waandishi hawakuwasemea, walitekwa wengi bado walikuwa kimya. Kwasababu hii imekuwa dhambi tuliyoilea Leo ametekwa mwenzao wameona madhira yake. Sishabikii utekwaji huu. Ila natamani mjue kwanini hamkupaswa kuwa waoga wakati wakitekwa wengne

mr mkiki.
 
Watoto 1300 Kibit Hawajapotea Kama Wangepotea Bas Wazaz Wao Wangeandamana Na Wangejulikana Waliko Na Ukichek Ki Idadi Ni Weng Sana WAZAZ WAO WANAJUA WATOTO WALIPO PIA ULE MKOA UNAWAFUASI WA DINI MOJA WENGI KULIKO DINI NYINGINE HIVYO INAWEZEKANA WAPO ,,,,,.......JIHA..
 
Wakishafuzu huko JIHA... basi kamanda siro na deputy wake Mombasasa waanze kujiandaa maana hao watoto wataleta "fire and fury"
 
Wakishafuzu huko JIHA... basi kamanda siro na deputy wake Mombasasa waanze kujiandaa maana hao watoto watalena "fire and fury"
Tupambane kwanza. Hatujui kesho ni nani.
 
Watoto 1300 Kibit Hawajapotea Kama Wangepotea Bas Wazaz Wao Wangeandamana Na Wangejulikana Waliko Na Ukichek Ki Idadi Ni Weng Sana WAZAZ WAO WANAJUA WATOTO WALIPO PIA ULE MKOA UNAWAFUASI WA DINI MOJA WENGI KULIKO DINI NYINGINE HIVYO INAWEZEKANA WAPO ,,,,,.......JIHA..
Lakini wamepotea kwenye jamii
 
Hii ya watoto 1300 ikoje? Mbona tunaichukulia simple angali ni taarifa nzito?
 
Vyombo Vya Habari Vimechangia Kupotea Kwa Mwandishi Azory Gwanda Kwasababu Viliamua KUYAFUMBIA MACHO Matukio Ya Watu Kuokotwa Kwenye Sandarusi Coco Beach, Watoto 1300 Kupotea Kibiti, Watu Kutekwa Hovyo Kila Siku, Laiti Kama Wangekemea Vitendo Hivi Leo Mwahabari Wao Asingepotea

Kuna wakati walipotea watu wa Kawaida..Waandishi hawakuwasemea, walitekwa wengi bado walikuwa kimya. Kwasababu hii imekuwa dhambi tuliyoilea Leo ametekwa mwenzao wameona madhira yake. Sishabikii utekwaji huu. Ila natamani mjue kwanini hamkupaswa kuwa waoga wakati wakitekwa wengne

mr mkiki.
Uko sahiii kabisa mkuuu.liissu alivyowambia hakuna aliye salama walidhani haiwahusu.wamefuga jini sasa lina wamaliza.

Hivi ilikuaje uongozi wa gazeti la mwananchi ukawa kimyaa kwa siku zote jizo?.bongo hiii tasnia ya habari ni kama genge tuu la wasakatonge.
 
Kisiwa cha Amani
Cha ajabu viongozi wa nchi.
HATA HAWASHTUKI.
YAANI WANACHUKULIA POA TU.
UKIWAONA NA MATABASAMU JUU.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom