Makanisa ya ajabu au mwisho wa dunia?

Makanisa ya ajabu au mwisho wa dunia?

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
2,232
Reaction score
2,493
Kumezuka makanisa ya ajabu kama kanisa wanalotumia pombe kubatizia waumini na pia kutumia kileo wakati ibada ikiendelea.kuna makanisa ambayo wachungaji wawili wa jinsia ya kike kuoana wao kwa wao, kuna vilvile makanisa wachungaji wanatumia nguvu za giza kama kuzika maiti kwenye misingi ya kanisa nk.Je kuzuka kwa makanisa haya kunamaanisha nini? Je Shetani anakaribia kushinda?

kanisa ajabu1.jpg
kanisa ajabu2.jpg
kanisa ajabu3.jpg
kanisa ajabu4.jpg
NDOA-WACHUNGAJI2.jpg
NDOA-WACHUNGAJI.jpg
 
Attachments

  • kanisa ajabu segerea.jpg
    kanisa ajabu segerea.jpg
    79.7 KB · Views: 56
kwa habari ya pombe mbona mafather wa kwetu wakileta misa mtaani baada ya misa wanazibariki nakugonga nyingi tuu wala kwetu si kitu cha ajabu.
Sema hivyo vipicha vya wasanii waigizaji vimekuchanganya.Inakubidi uzoee na ushike sana fundisho la mama yako.
 
Hayo mavazi unaona yanafaa kuvaliwa kwenye nyumba za ibada?
 
nimefurahishwa na bandiko la segerea, hasa kwenye jezijezi...hawataki usimba na uyanga kanisani ....hiyo safi sana
 
Kunywa baada ya ibaada sioni shida ila wakati wa ibada hapo sioni kama ni busara

Back
Top Bottom