MWANZA: Wafanyabiashara wawili wafikishwa Mahakamani kwa kuhujumu uchumi na kuleta hasara ya bilioni 10 kwa Serikali

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,242
2,000
Wafanyabiashara wawili, Antonia Zacharia na Timoth Kilumile wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza, kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni 10 kwa kujipatia mali za Chama Kikuu cha Ushirika cha Nyanza (NCU)


26733494_784574225068266_5859665232675362639_n.jpg
MWANZA
 

Kwisense

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
282
500
Peter Zakaria mmiliki wa basi yafanyayo safari za Sirari via Tarime to Mwanza ni mwenyeji wa Tarime, kwa hiyo kulingana na majina tajwa hapo juu siyo yeye
 

Silasy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
653
1,000
Peter Zakaria mmiliki wa basi yafanyayo safari za Sirari via Tarime to Mwanza ni mwenyeji wa Tarime, kwa hiyo kulingana na majina tajwa hapo juu siyo yeye
Imeandikwa Antonia Zacharia jina la kike kabisa na tunaona kwenye picha huyo mama lkn bado watu wanauliza km ndie yule mmiliki wa mabasi ya Zacharia Du nachoka!
 

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,008
2,000
Peter Zakaria mmiliki wa basi yafanyayo safari za Sirari via Tarime to Mwanza ni mwenyeji wa Tarime, kwa hiyo kulingana na majina tajwa hapo juu siyo yeye
Kwa mali za nyanza atakuwa ni yeye
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,056
2,000
huyo Zakaria ni nani na anamiliki mabasi gani ? yanaenda wapi ? maana sisi tunawajua kina new force, dar express, kilimanjaro na mzee sumry aliyetingisha mitandao kwa shamba lake la kisasa juzi juzi

ni tajiri sana huko mwanza au? maana jina geni masikioni kwangu

Zakaria alinunua jengo la Nyanza kenyatta road hapa mwanza (sijui alinunua mwaka gani) mbali na hilo jengo kwenye hilo hilo eneo kuna kituo cha mafuta na parking ya mabasi yake. Nimeshangaa kafikishwa mahakamani coz zakaria anajifanyaga yuko juu ya serikali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom