Msaada wa malazi Tabora

Msaada wa malazi Tabora

faabroz

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
286
Reaction score
69
Naomba msaada wana jf wa guest za kulala naenda tabora chuo cha utumishi wa umma nipo kwenye muro na tabora ndo Mara ya 1 kufika, kama kuna MTU anajua guest ya kulala kuanzia 15-20 unaweza ukani pm namba niweze kubook kabisa au kama unaifahamu ulilala pia usisite, ahsante kwa msaada
 
Berenja, Tambwe Wema Guest House, Salama Guest House,Isamilo Inn, Urafiki, Kazeh Inn, nk
 
Berenja, Tambwe Wema Guest House, Salama Guest House,Isamilo Inn, Urafiki, Kazeh Inn, nk

mkuuu ahsante, sana ngoja nikifika usiku nitachukua tax nataja hizo sasa sijui bei zao na kama ni 15-20, na kujaa vyumba
 
Usiku pitia pale Zero utapata nyama choma na totoz za Uhazili
 
Jaribu Orion Hotel (zamani - Tabora Hotel) au Coconut Lodge.
 
Huna haja ya kulala we nenda kakeshe kuna kiwanja kinaitwa Oxygen Lounge utashangaa tu asubuhi hii hapa unaenda zako chuo
 
Huna haja ya kulala we nenda kakeshe kuna kiwanja kinaitwa Oxygen Lounge utashangaa tu asubuhi hii hapa unaenda zako chuo
kipo karibu na chuo cha uhazili mana nataka niimport totoz
 
Back
Top Bottom