Naomba kujua mishahara au malipo (wastani) ya wahariri /waandishi wa habari

KelvinCharlesM

New Member
Dec 25, 2017
3
0
Habarini,

Naomba kujua mishahara au malipo ya wastani ya watu wafuatao:
Mhariri wa habari
Videographer
Presenter wa TV

*Kwenye kampuni ndogo za Media kama Millardayo,Bongo5 au televisheni na redio ndogo
 
Habarini,

Naomba kujua mishahara au malipo ya wastani ya watu wafuatao:
Mhariri wa habari
Videographer
Presenter wa TV

*Kwenye kampuni ndogo za Media kama Millardayo,Bongo5 au televisheni na redio ndogo
Vuta subira watakuja mkuu!
 
Back
Top Bottom