Madhara ya kuunganisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

Madhara ya kuunganisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

Vyamavingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
6,051
Reaction score
5,952
Tumearifiwa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii inaunganishwa na kubaki Mifuko miwili tu -Mfuko kwa ajili ya Watumishi wa Umma na Mfuko kwa ajili ya Sekta binafsi. Awali mifuko ilshindana kupata wanachama na kusababisha kuboreka kwa huduma kwa wanachama, ikiwamo kuongezwa kwa aina za mafao na mikopo. Hii ilisaidia wanachama kupata faida mara mbili -ya muda mfupi (kabla ya kustaafu ) na baada ya kustaafu.

Sasa kwa kuunganisha mifuko hii tutegemee kupungua kwa ubora wa huduma, kupungua kwa uwezo wa kifedha /kiuchumi kwa wanachama, kupunguzwa na kuachishwa kazi kwa wafanyakazi wa mifuko hiyo.

Kwa ufupi athari ni kubwa kuliko faida na ifike mahali watawala waache kuingilia utendaji wa mifuko na kuipangia nini cha kufanya ili wanachama wafaidike na mifuko yao.

Vv
 
Back
Top Bottom