Msaada namba za Azam tv ( customer care)

Msaada namba za Azam tv ( customer care)

ezma

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2014
Posts
1,463
Reaction score
533
Nimejinyima nikalipia 18000 iliniweza kutazama mpira wa Yanga lakini sipati picha zaid ya nusu saa,, kuna namba huwa wanatoa baada ya malipo hazipatikani....
 
Elezea tatizo lako vizuri uwenda wadau wakakusaidia hapa
 
Back
Top Bottom