CHADEMA Tulichokosea Ni Hiki.....
Kwanza ieleweke kuwa, siku zote chama cha siasa objective yake kuu huwa ni kushika dola. Na katika mazingira haya, mbinu yoyote inaweza kutumika iwe halali au...
Wadau Jerusalem Embassy Act of 1995 ni Sheria iliyopitishwa na Serikali ya Marekani tarehe 23 Oktoba 1995.
Madhumuni ya kuipitisha Sheria hjyo ni kuanzisha na kugharamia mpango wa kuhamisha...
Natumaini hamjambo wadau wa Jamii forum,
Napenda leo tuelimishane kuhusu symbol ya pesa ya Kitanzania, symbol ambayo inatambulika kisheria ndani na nje ya nchi ni ipi kati ya hizi mbili(Tshs na...
Ngara. Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Mayenzi wilayani Ngara anatuhumiwa kumuua mke mwenza na kumzika shambani.
Kifo hicho kinachodaiwa ni kutokana na wivu wa mapenzi kimetokea katika Kata ya...
Watanzania wengi wahaijui hata Tanzania yenyewe!haiwezekani unajua mikoa miwili tu ya Tanzania halafu utatoa hitimisho kwamba Tanzania ipo hv na vile!kuna mikoa ulienda na 2milioni ni Jembe la...
Mwaka 2012 nchi zinazoendelea zilipokea dola trilion 1.3 za misaada, vitega uchumi. Lakini mwaka huo huo nchi hizo zilitoa dola trilioni 3.3 kwenda kwenye nchi zilizoendelea. Kwa maana nyingine...
Mkaguzi Wa Pamba Wilaya ya Igunga, George Kihimbi amesema Mapema Wiki ijayo Wilaya hizo zitapokea lita 55,000 za Dawa za kuulia Wadudu kutoka Bodi ya Pamba Tanzania(TCB) ikishirikiana na Kampuni...
Nimekuwa natumia usafiri tofauti kwa safari za binafsi na za kikazi mikoa mbalimbali ya nchi yetu ya Tanzania.Jana nimesafiri na basi la New force lenye namba za usajili T452 DDT toka Dar es...
Kwa hali inayoendelea sasa nchini nachelea kusema UDSM mna kila sababu ya kubeba lawama juu ya uelewa wa masuala ya siasa uliopo nchini.
Dhana inayojengwa ya kuwa ukiwa upande fulani wa sarafu...
Wanajamvi hatimae nimerejea tena kwenu kuhusiana na hili swala la ukifanyiwa kitendo na mtu ama mwenzako unajihisi sio poa kabisa
Kwa mimi binafsi nikimpigia mtu simu halaf akaikata hua najisikia...
Tumeambiwa na Serikali, mvulana au mwanaume ukimpa mimba mwanafunzi wa kike utafungwa miaka 30, lakini mahakama ina ushahidi gani kwamba umehusika?! Je DNA ya mtoto tumboni imetumika na kubainisha...
Wakuu siku ya Alhamisi tar 27/7/2017 ilikua siku mbaya sana kwangu kwani nilipokea barua ya kusimamishwa kazi...sina biashara yoyote na natarajia kufunga ndoa mwezi wa 10 ....naombeni...
Kiukweli mim ni miongoni mwa wahitimu wa fani ualimu ambao nimeitimu miaka miwili iliyopita, kwa hiki kilichojitokeza leo kimeniuzunisha sana na kunikatisha tamaa kama mwalimu mtarajiwa kwani...
Kuna Taarifa ya uongo sana inayosambazwa na Kada mtifu wa CCM Jerry Muro ambazo ni wongo za Dr. Godwin Mollel Mbunge wa Siha kuwa amejiuzulu.
Habari hizi ambazo mwanzilishi wake ni Jerry Muro ni...
Rais Magufuli akemea wasanii wa Tanzania wanaocheza utupu kwenye video za muziki. - Ahoji. “Kwanini uwavulie wengine wasiopenda kutazama uchi?” - Ataka mamlaka kuvichukulia hatua vituo vya TV...
Kauli ya Tundu Lissu Baada ya Kutembelewa na Mwenyekiti Mpya wa BAVICHA Kauli ya Tundu Lissu Baada ya Kutembelewa na Mwenyekiti Mpya wa BAVICHA | MPEKUZI
Source: mpekuzi
Mwanza. Upande wa Jamhuri umewasilisha hati ya kiapo kuzuia dhamana ya washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya kujihusisha na vitendo vinavyoashiria mapenzi ya jinsia moja na makosa ya kimtandao...