nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Wakuu siku ya Alhamisi tar 27/7/2017 ilikua siku mbaya sana kwangu kwani nilipokea barua ya kusimamishwa kazi...sina biashara yoyote na natarajia kufunga ndoa mwezi wa 10 ....naombeni ushauri..fani yangu ni mwasibu