Ni kitendo gani ukifanyiwa unajihisi sio poa

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,227
5,132
Wanajamvi hatimae nimerejea tena kwenu kuhusiana na hili swala la ukifanyiwa kitendo na mtu ama mwenzako unajihisi sio poa kabisa
Kwa mimi binafsi nikimpigia mtu simu halaf akaikata hua najisikia vibaya saana
Sasa sijui na nyinyi wenzangu ni kitu gani ukifanyiwa unajihisi sio poa
 
dharau zawazi aiseeee
ijpokuwa huwa ninadesturi yakutojali...
yaani mimi nimwepes sana wakutojali huwa nafurahia kuwa hvyo cuz huwa inanijenga kuepuka maumivu na hatakama nikiyapata huwa hayachukui muda kuisha ...yaani usitegemee kuwa ukinikera Leo ....kesho utanikuta nikiwa bado ndani ya huzuni...
nitapiga nawe story nakufurahia uwepo kama hujawahi nifnyia ubaya ila nakuwa makini kimyakimya cuz nimeshaijua Rangi yko...
nahata ukiniuzi naweza nisikwambie kabisa yaaani ..nikiona umezididha ubaya nikikwepa kimya kimya pasipo kukwambia 7bu inayonifnya nikukwepe
 
Back
Top Bottom