Mimba kwa Wanafunzi: Wafungwa bila kuwa na ushahidi kuwa umehusika!

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
430
1,000
Tumeambiwa na Serikali, mvulana au mwanaume ukimpa mimba mwanafunzi wa kike utafungwa miaka 30, lakini mahakama ina ushahidi gani kwamba umehusika?! Je DNA ya mtoto tumboni imetumika na kubainisha unahusika au "hear say" ya aliyepewa mimba?!
Je hukumu hutolewa baada ya kupima DNA au inatolewa sababu aliyeshika mimba kamtaja na kusema anayehusika ni fulani?!
Hili jambo linabidi liangaliwe kwa undani, kama mwanafunzi wa kike kaamuwa kumsingizia mvulana au mwanaume hatuoni kama haki itakuwa haijatendeka?!
Au inakuwaje wanabodi?!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom