Habari zenu wana JF.
Mwanamke moja mkoani kagera amemuua na kumzika mwenzie shambani walipokuwa wakifanya kazi akidai anapendwa zaidi na mume kuliko yeye. Bibi mkubwa alimuua bibi mdogo na muuaji...
Hizi pesa zilizookotwa Airport zitumike kutengeneza katiba mpya. Walisema hawana pesa lakini Mungu katuona kadondosha zigo la pesa ambazo zinatosha kupata katiba mpyaa na chenji ikabaki.
Lile...
Pengine unaweza kuukataa ukweli huu hasa kwa kutazama maisha na biashara za wana Kilimanjaro hasa wa jamii ya Wachaga waliotapakaa karibu kila eneo la nchi hii.
Lakini ukweli ni kuwa Mkoa huu...
Akizungumza na waandishi wa habari mtu wa karibu na askari hao amesema kuwa chanzo cha ugomvi wa askari hao ni wivu wa mapenzi ambapo marehemu pamoja na mtuhumiwa ambaye ametambulika kwa jina la...
Vifo vya maaskari wetu trh 8 Dec huko Congo yamenifanya nikumbuke matumizi ya alama za taifa kwa lengo la maombelezo ya pamoja kama Taifa,nimetafakari kwa muda mrefu sijaona bendera ya Taifa...
Kwenye maisha ulivyokuwa jana, ulivyo leo na utakavyokuwa kesho vinaweza kuwa vitu vitatu tofauti sana. Jana yako inaweza ikawa nzuri sana lakini kesho ikaharibika kutokana na umejifunza nini na...
Amani iwe kwenu.
Kama heading inavyo jieleza, ukienda kununua mbuzi Vingunguti, au Mazizini. Utawaona madalali wamewasimamisha mbuzi kwa kuwashika miguu ya mbele kama wanachezanao bluzz, don't...
Utafiti uliofanywa na taasisi ya TWAWEZA katika wilaya Kumi na moja nchini umeonyesha kwamba motisha ya fedha kwa walimu wanaofanya vizuri katika ufundishaji inaongeza viwango vya ufaulu kwa...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), leo katika Stesheni ya Mombo, mkoani Tanga, baada ya kukagua...
Hili linatokea na hata mimi huwa nalifanya, ila nimejiuliza na nashindwa kuelewa kwanini huwa tunatema mate baada ya kusikia harufu mbaya.
Anayejua anijuze tafadhali...!!!
CHADEMA Tulichokosea Ni Hiki.....
Kwanza ieleweke kuwa, siku zote chama cha siasa objective yake kuu huwa ni kushika dola. Na katika mazingira haya, mbinu yoyote inaweza kutumika iwe halali au...
Wadau Jerusalem Embassy Act of 1995 ni Sheria iliyopitishwa na Serikali ya Marekani tarehe 23 Oktoba 1995.
Madhumuni ya kuipitisha Sheria hjyo ni kuanzisha na kugharamia mpango wa kuhamisha...
Natumaini hamjambo wadau wa Jamii forum,
Napenda leo tuelimishane kuhusu symbol ya pesa ya Kitanzania, symbol ambayo inatambulika kisheria ndani na nje ya nchi ni ipi kati ya hizi mbili(Tshs na...
Ngara. Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Mayenzi wilayani Ngara anatuhumiwa kumuua mke mwenza na kumzika shambani.
Kifo hicho kinachodaiwa ni kutokana na wivu wa mapenzi kimetokea katika Kata ya...
Watanzania wengi wahaijui hata Tanzania yenyewe!haiwezekani unajua mikoa miwili tu ya Tanzania halafu utatoa hitimisho kwamba Tanzania ipo hv na vile!kuna mikoa ulienda na 2milioni ni Jembe la...
Mwaka 2012 nchi zinazoendelea zilipokea dola trilion 1.3 za misaada, vitega uchumi. Lakini mwaka huo huo nchi hizo zilitoa dola trilioni 3.3 kwenda kwenye nchi zilizoendelea. Kwa maana nyingine...
Mkaguzi Wa Pamba Wilaya ya Igunga, George Kihimbi amesema Mapema Wiki ijayo Wilaya hizo zitapokea lita 55,000 za Dawa za kuulia Wadudu kutoka Bodi ya Pamba Tanzania(TCB) ikishirikiana na Kampuni...
Nimekuwa natumia usafiri tofauti kwa safari za binafsi na za kikazi mikoa mbalimbali ya nchi yetu ya Tanzania.Jana nimesafiri na basi la New force lenye namba za usajili T452 DDT toka Dar es...