Kumbukumbu: Nimeimisi miaka ya 90's kurudi nyuma.

Kumbukumbu: Nimeimisi miaka ya 90's kurudi nyuma.

parangu17

Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
31
Reaction score
8
Vifo vya maaskari wetu trh 8 Dec huko Congo yamenifanya nikumbuke matumizi ya alama za taifa kwa lengo la maombelezo ya pamoja kama Taifa,nimetafakari kwa muda mrefu sijaona bendera ya Taifa kupandishwa nusu mlingoti ktk mjanga kama haya.Kweli jamani hata hili la vifo vya maafande wetu huko Congo?Najiuliza au ulikuwa utamaduni wa kimagharibi?kwamba hautufai tena.
 
Mimi nakumbuka mwaka 1986 mkuu wa nchi akiwa mchuuzi wa samaki na dagaa
 
Really??? Eti ni kweli kuwa alishawahi kuwa nsaji?
Inawezekana mkuu,, na huu uwe mwanzo kwa vyombo vyetu vinavyosimamia uchaguzi kuhakikisha wagombea wote wanapimwa afya ya akili adiyetaka imekula kwake! Hivi raia hawezi akafungua kesi mahakamani inayotaka apimwe akili?
 
Back
Top Bottom