Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

usihofu, Mungu anaweza yote, anaweza kukutoa katika hali hiyo uliyonayo sasa, hadi wale wote waliokudharau wakashangaa. download document hii, kakae usome kwa makini na Mungu atakusaidia.
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Watu 3 wameripotiwa kufariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana majira ya saa moja jioni katika eneo la kijiji cha Simbo wilaya ya Kigoma ikihusisha gari aina ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam hapa JF! Nina zigo la maumivu moyoni juu ya hicho kinachoendelea Mtwara! Habari zinasambaa kwa kasi kwamba kuna mtoto aliyezaliwa, kufumbua macho na kutoa ujumbe kwamba, kuna mvua...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Serikali imeendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ili kuwapatia wananchi wote maji safi na salama. Imejiwekea malengo ya kuhakikisha ifikapo 2020 watu milioni 24 wapate maji ya uhakika ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hukumu ya mwalimu wa sanaa ya kujihami ‘martial arts’ Salum Njwete maarufu kama Scorpion, ya kumjeruhi na kumtoboa macho kinyozi Said Mrisho leo ilishindwa kusomwa katika Makahama ya Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amepiga marufuku mwalo wa mwambao wa Kijiji cha Kirando kutumika kama bandari baada ya kufika katika mwalo huo na kukuta lori likiwa linapakua mizigo kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa wito kwa wamiliki wote wa vyombo vya moto kwamba kuanzia sasa, yeyote atakayepoteza kadi ya gari atatakiwa kutoa tangazo la kupotelewa kadi hiyo...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Bwana yule ndo muhasisi wa biashara ya Utumwa hapa Tz.Kwani yeye ndiye aliyekuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kununuliwa.Na kukimbilia Rwanda kwa ajiri ya Mapunziko ,nakufuatiwa na Dk yule...
0 Reactions
4 Replies
770 Views
Ofisi ya Uhamiaji mkoani Kilimanjaro imeagiza wageni 94 wasiokuwa na kibai kuondoka mara moja nchini na kurudi endapo watakamilisha taratibu za uhamiaji Wageni hao ni wakenya 71, Wanyarwanda 7...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana nilikua nasikiliza redio nikasikia taarifa moja ya serikali ya Uingereza haiwatambui wakimbizi kutoka Tanzania sijajua sababu ni nini lakini si Tanzania tu kuna baadhi ya nchi nyingine kama...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Gesi inanuka kila kona je afya za wakazi wa huku zipo hatarini....
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Msanii wa Hip Hop nchini Rashid Makwiro 'Chid Benz anashikiliwa tena na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya na hii inakuwa mara ya tatu kwa msanii huyu kukumbwa...
3 Reactions
66 Replies
17K Views
UkitazamaTV, kusikiliza radio ama kusoma magazeti ukakutana na habari inayolihusu jeshi letu la police lazima, habari hiyo lazima itakuwa ni ya kihalifu ama kutoa makatazo ama matamko. Mimi...
12 Reactions
64 Replies
7K Views
Chama hakijulkan nan kapewa ridhaa ya kuwa msemaj wa chama Kila mtu anatafuta pa kupatia kiki ili asipotee ktk kpnd hiki cha uncle Magu Kila mtu anataka kusemea jambo Mwenzao kapata zali la...
0 Reactions
1 Replies
778 Views
Wana jamnvi Kwanini hawa wenye makampuni kama ya TATU MZUKA... wameshindwa kuwa na link ya kulipia hela ya kucheza bila ya kupitia mitandao ya simu, maana ukilipia kwenda TATU MZUKA... lazima...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Hakuna kitu kinaitwa utamaduni wa Mtanzania. Kumekuwa na tabia ya wananchi kuamini kuwa Tanzania ina utamaduni na hasa pale jambo fulani linapotokea au katika njia ya kuhamasisha, kutetea na hata...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau Benki inapokua inafilisiwa, Deposit Insurance Board (DIB) ambayo ipo kwa mujibu wa kifungu cha 36 na 37 cha Sheria Na. 5 ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2006, hufanya utaratibu wa...
4 Reactions
33 Replies
7K Views
Kumekuwa na tabia kwa hawa wafugaji wa kimasai kwa hapa Kilimanjaro ukiwa unatoka boma ng’ombe kuelekea Arusha sana sana boma via kia & boma to Arusha kuna punda wanatuharibia Magari sana arafu...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Huu uzi nlitaman niuite "Kukiri Kwangu" au "My Confession"... Turudi kwenye mada..... Wale wezangu ambao tuna story ambazo uwa zinasutu nafsi zetu karibuni tujadiliana..... Nianze na ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…