Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukiwa na smart halafu ukakosa pesa ujue wewe ni hamnazo, msiniulize ni kivipi kuwa na smart phone ni ajira tosha? Wengi wananunua smart phone ili kushinda FB na kusaka wanaume au wanawake, na...
0 Reactions
3 Replies
910 Views
Sunday, January 21, 2018 Bei nyumba za NSSF zashtua Kamati ya Bunge Kwa ufupi Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara, bei za nyumba za Dege ni kati ya Dola za Marekani...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Ndugu wana jamvi, Nimekaa nikafikiria sana hivi kwanini Africa hatutaki kutumia majina yetu ya asili, ama hivi kweli tumekosa watafiti ama maprofesa ambao wangeweza kutembea nchi nzima kila...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari zenu bandugu, Hivi kwanini sisi watu wa kigoma tuna nyanyapaliwa sana na maafsa uhamiaji pale tunapo kwenda katika office zao ? Ukienda kuomba hati ya kusafiri (passport) ukataja wewe ni...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Huwa nasikiaga kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar lakini sijawahi kusikia makamu wa kwanza tokea alipokuwa Maarim Seif Sharrif Hammad, kipindi kile cha serikali ya umoja wa kitaifa. naomba...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Polisi yasema askari wa pikipiki marufuku kutoza faini Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema askari wanaotembea na pikipiki maarufu kama ‘tigo’ hawana mamlaka...
8 Reactions
64 Replies
14K Views
Mini nimejaribu kufanya tathimini toka nizaliwe hadi leo miaka 30, nikajiuliza toka nianze kunywa chai hadi leo ,ni wasitani wa kilo ngapi ama vijiko vingapi vya sukari nimekula. nimegundua kwa...
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Unaweza kuwa unafanya kazi lakini hujui kwanini unafanya kazi. Ndio maana hapa Tanzania utakuta watu wengi sana wapo sehemu zao za kazi, lakini wanalalamika kila siku na wakati mwingine...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
To be fair is to care; It is a fact that we have Homosexuals among us.It is also a fact that there is a serious stigma towards homosexuals. It is also true that these people,due to the stigma...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Wana JF, Saa 3.30 asubuhi hii nitaanza safari ya kwenda Iringa naanzia Arusha, nahitaji abiria 4 lifti, lazima wawe wana jf ili tubadilishane mawazo njiani. taja mji au kijiji ulipo na kituo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Huyu jamaa Nkamia kwa sasa ni upele wa kisiasa. Mada anazowasilisha kstika jamii zina ukakasi. Pengine asingukuwa msoma habari redioni, TBC, asingejulikana kabisa hadi kupata ubunge. Na sasa ...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za Jumapili Ni matumaini yangu Mko wazima Wa afya kabisa! Leo Nimeamua niwaletee mrejesho wa kile nilichokiomba na tukashauriana hapo July 2017 Bora shule ama kazi? Bora shule ama...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Arusha. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amezitaka taasisi za Serikali na binafsi kuunga mkono agizo la Rais John Magufuli la kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mazingira ya dunia ya Leo yamechange sana Unamsomeshaje mtoto HR ..business ADM,unataka nn NB: dunia ya Leo ni ya kujiajiri tu....
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nikiwa nipo ghetto kwangu nimechoka na harakati za kila siku, nikajitupia kwenye godoro hata neti sikushusha. Nikiwa nimepitiwa usingizi ghafla baadae nikaota kuna sehemu naelekea, nikatembea sana...
0 Reactions
4 Replies
725 Views
Nikiwa nipo ghetto kwangu nimechoka na harakati za kila siku, nikajitupia kwenye godoro hata neti sikushusha. Nikiwa nimepitiwa usingizi ghafla baadae nikaota kuna sehemu naelekea, nikatembea sana...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Duuuh kweli utawala wa Magufuli umekuja kutukazia sheria zilizokua zinavunjwa miaka nenda rudi Safari za kutoka DSM/Morogoro kwenda mikoa ya kanda ya ziwa kama Mwanza zimekua ndefu mno siku za...
15 Reactions
103 Replies
10K Views
Dotto Rangimoto pichani mwenye bahasha Unapoongelea sanaa ya ushairi katika ukanda wa Afrika ya mashairiki na Tanzania utakuwa unaongelea moja kati ya sanaa zenye changamoto kubwa sana kulingana...
0 Reactions
3 Replies
46K Views
Ingekuwa mimi ni waziri wa Elimu ningerudisha Ardhi University UDSM, maana yanayoendelea sasahivi kwenye hivi vyuo hata sielewi zaidi ya kusema ni ulafi wa madaraka hasa ukizingatia ukaribu wa...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…