PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Mini nimejaribu kufanya tathimini toka nizaliwe hadi leo miaka 30, nikajiuliza toka nianze kunywa chai hadi leo ,ni wasitani wa kilo ngapi ama vijiko vingapi vya sukari nimekula.
nimegundua kwa wasitani ni vijiko 1650. Nimechukulia nianza kunywa chai nikiwa na miaka 7, kwa hiyo nimepiga hesabu ya vijiko viwili kila siku kwa miaka 23.kumbuka kwa siku ambazo sikunywa chai nimepigia heasabukwenye miaka ile 7.
Hii imenitisha sanaa, hapo bado soda sijapiga hesabu ni kreti ngapi nimekunywa hadi leo.