Safari ya Iringa from Arusha anayehitaji lifti

Safari ya Iringa from Arusha anayehitaji lifti

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,473
Reaction score
4,007
Wana JF,

Saa 3.30 asubuhi hii nitaanza safari ya kwenda Iringa naanzia Arusha, nahitaji abiria 4 lifti, lazima wawe wana jf ili tubadilishane mawazo njiani. taja mji au kijiji ulipo na kituo nitakupitia, gari aina ya SUBARU LEGACY WAGON T 356 DCG rangi Dark blue. niko peke yangu naendesha mwisho Iringa mjini, narudi j5. first come first served.

NB: USIWE NA MIZIGO YA MABEGI KAMA MFANYA BIASHARA SITAKUCHUKUA.
 
We jamaa unataka kutekwa/kuteka!Hata kama una roho nzuri kiasi gani.Kuwa na tahadhari.
 
kuna mtu anatafutwa hapo ajae king.

Kutoka Nissan Patrol mpaka Subaru Wagon kweli mmeamua.
 
Big up sana mwana,mie mwenyewe Arusha to iringa naenda jmosi kurudi jpili,gari verrosa T157 HBT ,naenda kufuata mtt aje kusoma Arusha drs3,kama unahitaji lift mabegi hapana
 
Back
Top Bottom