Changamka
Senior Member
- Sep 27, 2015
- 149
- 161
Habari za Jumapili
Ni matumaini yangu Mko wazima Wa afya kabisa!
Leo Nimeamua niwaletee mrejesho wa kile nilichokiomba na tukashauriana hapo July 2017
Bora shule ama kazi?
Bora shule ama kazi?
Namshukuru Mungu nilichagua kwenye Shule na Kuendelea kubaki kazini Ila nilichokifanya ni kuongea na mabosi wangu kwanza kabla Sjachukua Hatua ingine ndipo Nilikubaliwa na kuambiwa Usisahau Majukumu yako kazini !
Nilianza Shule September 2017 Chuo cha TIA .. Tanzania Institute of Accountant
Masomo yameenda Vizur Na saivi Tupo Likizo kwa kuanza Semister 2
Changamoto
Nilipeleza ada maana ilikuwa ili ufanye EXAM Semister 1 Ni lazima ulipie michango 70% ..... Ambayo kwangu ilikuwa 714,500/=
Huwezi kuamini Nilikosa hiyo 14,500/= Nusu nisifanye Paper aiseee .... Lakini Mungu ni Mkubwa Sana
Nikapata Rafiki mmoja akanielekeza jinsi ya kukopa hela kwenye App iitwayo TALA
Tala Tanzania – Applications Android sur Google Play
Nilikopa 20,000/= kesho yake nikaenda Ku Banking ...
√ Pia Nauli za Kwenda Chuoni ndo shida kubwa kuliko hata ada aisee , hivi mia tano mia tano Ni kero sana
Namshukuru Mungu kila kitu kinaenda Vizuri tar 5 February tunarudi Chuo tena kumalizia Second Semister ...
Asanteni Sana Mungu awabariki
Jumapili Njema Wadau