Habari zenu,
Naomba kuelezea kwa kifupi sana ubakaji na mazingira yake;
Ubakaji ni ile hali ya kuingiliwa pasipo ridhaa au makubaliano ya pande zote (mwingiaji au muingiliwaji).
Bahati mbaya...
Ludwig von Mises (1881-1973 alifanikiwa kuwaza na kuwasilisha kwa weledi mkubwa mtazamo wake pale aliposema:
The interventionists do not approach the study of economic matters with scientific...
Jamiin humzaa mtawala, andapo jamii hiyo ni erevu, Basi mtawala pia atakuwa mwerevu
na kinyume chake
Kabla ya kumlaumu mtawala,Basi jilaumu nafsi yako
Tengenea ww kwanza,kiongozi bora atakuja
Kilimanjaro. Wananchi wanaoishi katika kata hizo wamekuwa wakikubaliana na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama.
Kutokana na changamoto hiyo, wananchi wa vijiji vya Jipe na Kiverenge...
IDADI ya watu walioathiriwa na mafuriko ya mvua katika kata 11 za vijiji 16 wilayani Kilosa, Morogoro, imeongezeka kutoka kaya 1,831 zilizokuwa na watu 7,261 na kufi kia kaya 2,701 zenye watu...
Wakuu hivi imani zote hizi, ukienda Asia watu bilions na wamestawi sana maisha bora.
Ukienda huko Mashariki ya mbali pia same thing. Ukienda kwa Wahindi huko na imani zao, unakuta watu wanaishi...
Mwezi ujao kuna mpango wa serikali kulipa madeni ya watumishi na wazabuni, je madeni yanayohusiana na mishahara kama arrears yatalipwa?? Mwenye taarifa atujuze.!
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoa wa Mara kumkamata na kumuhoji meneja wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wa mkoa wa Mara, mhandisi...
Afisa Mchambuzi Mifumo ya Kompyuta Ndg. Psalm Kisuda pamoja na Afisa Msajili wilaya ya Ikungi mkoani Singida wakiwa katika ofisi ya Usajili mkoa wa Singida wakichapa (printing) taarifa za waombaji...
habari wanabodi
Nimekaa nimefikiria nimeona nianzishe website yenye lengo la kutangaza juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na mh rais mtetezi wa wanyonge na mpinga maovu...
Kiwanda cha kutengeneza nguo cha Sunflug kilichoko mkoani Arusha kimetozwa faini ya Shilingi Milioni mia moja baada ya kubainika kuzalisha, kusambaza na kuuza nyavu zisizokubalika kisheria na...
Dar es Salaam ni mji ambao kila kitu kizuri kimeanzia hapo, ukienda Dar alafu uende kwenye mikoa mingine hakika utagundua tofauti kubwa sana, kuanzia mji wenyewe hadi watu wake, Maisha ya Dar ni...
Nashangaa kituo kikubwa kama ITV wanadownload picha google na kuziweka kwenye taarifa ya habari. Hamuoni kama resolution ya picha inakua distorted na hvyo kutokuonekana vizuri au kutokuonekana...
Ukiwa na smart halafu ukakosa pesa ujue wewe ni hamnazo, msiniulize ni kivipi kuwa na smart phone ni ajira tosha?
Wengi wananunua smart phone ili kushinda FB na kusaka wanaume au wanawake, na...
Sunday, January 21, 2018
Bei nyumba za NSSF zashtua Kamati ya Bunge
Kwa ufupi
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara, bei za nyumba za Dege ni kati ya Dola za Marekani...
Ndugu wana jamvi,
Nimekaa nikafikiria sana hivi kwanini Africa hatutaki kutumia majina yetu ya asili, ama hivi kweli tumekosa watafiti ama maprofesa ambao wangeweza kutembea nchi nzima kila...
Habari zenu bandugu, Hivi kwanini sisi watu wa kigoma tuna nyanyapaliwa sana na maafsa uhamiaji pale tunapo kwenda katika office zao ?
Ukienda kuomba hati ya kusafiri (passport) ukataja wewe ni...
Huwa nasikiaga kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar lakini sijawahi kusikia makamu wa kwanza tokea alipokuwa Maarim Seif Sharrif Hammad, kipindi kile cha serikali ya umoja wa kitaifa. naomba...
Polisi yasema askari wa pikipiki marufuku kutoza faini
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema askari wanaotembea na pikipiki maarufu kama ‘tigo’ hawana mamlaka...