Majira ya saa 11.45 jioni ya leo, mfanyakazi mmoja wa TRA amewasilisha barua katika ofisi ya mapokezi ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), lililoko barabara ya Sam Nujoma...
Wadau natafuta anaetengeneza maua ya shanga kwa ajili ya kutengeneza viatu vya kimasai;
1.Yawe shanga Original
2.Uwe na uwezo wa kubadika kulingana na hitajio
3.Bei ni Tsh.3,000/=kwa pea moja...
Mimi ni mgeni humu nilikuwa natafuta habari za botswana nikaona humu kuna watanzania waliomba ushauri na ramani za kufika. Namimi nipeni ramani mwezi huu nataka nije huko botswana. Vipi...
Nasikia watu akisema fulani amekula njama, jina hili la "njama" limetokana na nini. Njama ni tunda, chakula au ni nini? huwa ina ladha gani? ukila njama unajisikiaje?
Wakuu tunalalamika pesa yetu kukosa thamani je? Haiwezekani Mavazi ya majeshi yetu, kama polisi, Magereza, Jkt. Baadhi ya uniform za Jwtz.
zikashonwa ama kutengenezwa hapa nyumbani kwa kutumia...
Wadau,
Roho ya mwanadamu hutiririka na kuenea ndani na nje ya mwili wa mwanadamu.Kila mwanadamu ana roho,na roho ya mwanadamu sio sehemu ya utambulisho wa mwanadamu bali kila roho ina utambulisho...
Habari wana jukwaa wa habari na hoja mchanganyiko kutoka hapa jamii forums.
Ni matarajio yangu kwamba mtafuatana na mimi katika kuangazia na kuchambua suala hili la digital technology ambayo kwa...
SI kila kifo ni mpango wa Mungu.
Ni sahihi Mungu anajua siku ya kufa kwako lakini kamwe hapangi namna ya wewe kufa.
Ukweli ni kwamba tunakosea kusema “kifo cha fulani ni mpango wa Mungu” kama...
Siku hii ya saratani inaadhimishwa kila mwaka Februari 4 na ya mwaka huu inakuja wakati ripoti zinasema imeshakatili maisha ya watu milioni 14 duniani.
Shirika la afya duniani-WHO linasisitiza...
MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk Rehema Nchimbi ametoa miezi minne kuanzia sasa kwa uongozi wa vijiji na kata kuhakikisha wanatunga sheria ndogo ya kunyonyesha ili kuondokana na tatizo la ukosefu wa...
Kadri unavyozidi kushindwa kuzigundua potential (uwezo uliopo ndani yako) ndio unavyozidi kuchelewa kufanikiwa!!
Mtu aki appreciate jambo lako anataka ufanikiwe!!
Ukiweza kugunduwa makosa yako...
Wasalaam wanajamvi, ni matumaini yangu jumapili inakwenda vizuri!
Husika na somo tajwa juu, Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limeanzisha utaratibu mpya wa Kujisajili kupitia mtandao moja kwa...
Habari wanajamvi;
Kwa wale wapenzi wa filamu tuweke filamu pembeni,Kwa wale ambao ni wanausalama tuweke ujuaji pembeni.
Kuna mambo huwa yanatokea duniani na kufanya watu tufikiri iwapo kuna namna...
BAADHI YA WATU HUSEMA HAPANA. Daktari mmoja alisema kwamba kutumia ushauri wa Biblia ni sawa na kutumia kitabu kilichotungwa miaka ya 1920 kufundishia somo la kemia. Mtu anayeidharau Biblia huenda...
Kampuni ya Umoja switch imewazawadia washindi wake zawadi walizoshinda kwenye droo ya Shinda na Umoja Switch iliyochezeshwa January 16 mwaka huuKatika droo hiyo ya kwanza ilitoa washindi katika...
Nina maswali kuhusu hii michezo,kunakitu kipya nmekifikiria japo kipo based kwenye michezo ya bahati nasibu,
Ni kwa jinsi gani naweza kujiregister,hili niweze kuchezesha hii michezo,je ni mpka...