maswali kuhusu michezo ya bahati nasibu.!!

maswali kuhusu michezo ya bahati nasibu.!!

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Nina maswali kuhusu hii michezo,kunakitu kipya nmekifikiria japo kipo based kwenye michezo ya bahati nasibu,
Ni kwa jinsi gani naweza kujiregister,hili niweze kuchezesha hii michezo,je ni mpka niwe na kampuni ama hata individually naweza kufanya.
Ni kwa namba gani naweza kupata zile namba special kwa mfano 15888 nazipata tcra ama kwenye mitandao ya simu.!?
Asanteni.
 
Back
Top Bottom