Intelligence,Conspiracy na Siasa za Dunia

Intelligence,Conspiracy na Siasa za Dunia

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,370
Reaction score
4,643
Habari wanajamvi;
Kwa wale wapenzi wa filamu tuweke filamu pembeni,Kwa wale ambao ni wanausalama tuweke ujuaji pembeni.

Kuna mambo huwa yanatokea duniani na kufanya watu tufikiri iwapo kuna namna ambavyo mambo ya ulimwengu huu yanapangwa.Kwa mfano ukiangalia mageuzi yanayoendelea duniani kwa sasa na mrengo wake unaweza ukahisi labda kuna mipango mahsusi iliyosukwa ili hali iwe kama ilivyo.Kwanza nchi nyingi zimepata marais na viongozi wakuu ambao hawakuwa maarufu katika medani za siasa.mfano rais wa ufaransa,rais wa Tanzania,rais wa marekani na marais wa nchi nyingine.

Cha kushangaza zaid ni uelekeo wa siasa za viongozi hawa.Kumekuwa na muelekeo fulani unaoonesha kwa kiasi fulani mfanano wa kisera ni kiitikadi wa viongozi hawa.

Tukiangalia katika siasa za ukanda wa Afrika mashariki utaona pia kuna dalili za hali kama hiyo kutokea,ukiacha Kenya ambao kwa kiasi bado hawajatulia,nchi zingine za Afrika mashariki tayari zinaviongozi ambao wamesha overstay madarakani ingawa bado wanajitahidi kuonyesha relevance yao.Pia kuna kila dalili ya hii tabia pia kujitokeza hapa Tanzania rejea madai ya kuongeza muda wa Urais

Ninachojiuliza hapa ni je ni coincidence tu iliyopelekea hali kuwa kama ilivyo au ni fikra zangu tu zinanipotosha?

Pili je his idara za Ujasusi za mataifa je zinahuskika ka kufanya mambo haya kuwa kama yalivyo kwa ajili ya agenda fulani ambazo zina global impact?

IRTBC

PBK
 
Ubongo uko vizuri, coded regime! Hata mimi nawazaga hivyo...labda na mie nitapata majibu.
 
Back
Top Bottom