Kwa watu wanaokula njama tu

Kwa watu wanaokula njama tu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,636
Reaction score
17,126
Nasikia watu akisema fulani amekula njama, jina hili la "njama" limetokana na nini. Njama ni tunda, chakula au ni nini? huwa ina ladha gani? ukila njama unajisikiaje?
 
Nasikia watu akisema fulani amekula njama, jina hili la "njama" limetokana na nini. Njama ni tunda, chakula au ni nini? huwa ina ladha gani? ukila njama unajisikiaje?
Nkana ni chakula cha kiroho cha kishetani ambacho ukilishwa lazima uwe mtu muovu
 
Back
Top Bottom