Ukweli kuhusu Digital Technology and Currencies pamoja na malengo ya kuanzishwa

Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
5,676
6,961
Habari wana jukwaa wa habari na hoja mchanganyiko kutoka hapa jamii forums.

Ni matarajio yangu kwamba mtafuatana na mimi katika kuangazia na kuchambua suala hili la digital technology ambayo kwa sasa inasambaa duniani kwa kasi (kibongo bongo tunasema ni habari ya mjini).

Nadhani kila mtu au baadhi hapo zamani au sasa mmekwisha sikia kwamba itafika kipindi dunia itaongozwa na kundi moja, au kiongozi wake anakuwa ni mmoja na kwamba tutapigwa chapa katika paji la uso ikimaanisha kwamba wote tumekubali kuungana na kuwa kitu kimoja na pia itakuwa ni code au promo code ya kupata huduma mbalimbali za kijamii, hii pia imezungumzwa katika biblia kuwa binadamu watapigwa chapa 666.

Ufuatao ni ukweli kwamba Korea kaskazini ni nchi pekee duniani ambayo haina digital TV licha ya uwezo wao walio nao na inakadiriwa hadi kufika mwaka 2023 nchi zote duniani zitakuwa zimeungwa katika mfumo wa kidigitali isipokuwa Korea kaskazini..
(hapa Ukichunguza sana utaona kwamba ndipo mgogoro wa Korea kaskazini na marekani unaanza)

Pamoja na masuala ya haki za binadamu, uhuru wa kutoa na kupata habari ili watu waweze kujisahau na kujikuta wametumbukia katika kina kirefu cha kutokujua kwao ni nini kimewafanya wafike huko.

Katika digital technology tunatumia kadi maalum kwa ajili ya kupata huduma (smart card) hivyo basi bila kadi hii hutaweza kupata au ku access huduma ya pay TV.

The digital TV switch-over is all part of the agenda and all ties in to the Smart Grid, micro-chipping, digital currency, tracking of everyone and every transaction and smart meters.

The DSO (Digital switch-over) was sold to the masses as offering better picture quality, more channels and so on.
In fact the real reason for the DSO was to adapt every TV transmitter (which cover on average 98% of EVERY country) to use packed bit-streams transmitted in an 8mhz band, what they have done by switching to digital is created the Worlds largest wi-fi network being serviced from every TV transmitter in every country, backed up with cell towers acting as relays.

Pia kumekuwepo na huduma ya Smart metering system ambayo imeendeshwa kwa muda sasa katika nchi za wenzetu, first class countries ila sisi tumeanza na luku kwa sasa, hii smart metering system ni mfumo ambao unakuwezesha kulipia huruma kwa kuscan barcode zilizopo kwenye card yako hivyo ukaweza kulipia umeme au maji (fatilia premier bet kuona wanavyo fanya) lakini hii ni tofauti kwani kwenye meter yako kuna kama lense au kioo ambapo utapitisha kadi yako, pia katika mfumo huu kuna aina nyingine ambayo imeunganishwa kimtandao zaidi (topology networking system) ambayo meter inasomwa yenyewe bila msomaji by physically kufika eneo husika ambapo ipo meter.

Lakini zaidi kumekuwepo na digital currencies kwa sasa ambayo inayofahamika sana ni bitcoin, hii bitcoin imeanzishwa kwa namna moja au nyingine kuelekea kwenye dunia ya shilingi moja (a world of one coin).

Bitcoin would be ideal for a digital currency stored on a microchip, it's why it has been created, to programme the masses to accept a digital currency, before they bring in a single digital currency for the world, which will just happen to have all the qualities and be perfect for using on a microchip implant.

Bitcoin, which is what the single digital currency will essentially be, has one huge prerequisite, it needs a constant internet connection to hash and function, this is why we have the digital switch-over, the huge worldwide wi-fi network is there to track everything, everyone, every transaction, every bit of energy you use and so on.

Katika yote hayo juu kubwa kabisa lilikuwa ni kuanzisha simu za mikononi ili mengine yote hayo yafuate, yani simu za mikononi na computer ndio wa kwanza kuundwa katika mfumo wa digital technology..

LENGO ni nini???
Ukichunguza huduma zote hapo juu zinatumia WiFi technologies,DSO na ndio maana kuna huge world wide WiFi network ambayo moja tunaitumia katika mobile phone na devices zinazotumia cellular network na mbili tunaitumia kwenye digital television transmitter to access TV zetu nyumbani kwa katumia hii digital switch - over (DSO).


This huge wi-fi network will be used to gather smart meter data, this wi-fi network will also be the basis of tracking everyone and every transaction when the masses eventually accept micro-chipping and a single digital currency.

Sasa hii yote inatumia mtandao wa Internet kwa maana hiyo tukifuatilia features za Internet ambapo hapo tutaona vitu kama IP address etc ndio tutapa kugundua kwamba kuna watu wanataka ku control na kuendesha dunia watakavyo kwa kujua mambo ya fuatayo.......

1.track everything,
2.everyone,
3.every transaction,
4.every bit of energy you use and
5.so on.

Hayo ndio malengo makuu ya kuanzishwa kwa digital technologies duniani..

NB. Andiko hili halipo kwa ajili ya kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari au kuminya haki za binadamu hivyo wanasiasa msichukulie kama ni advantage.

Karibuni kwa michango na mawazo yenu, pia tusamehane kama hujanielewa pengine kwa mpangilio mbaya wa matini hii au kwa kuchanganya lugha!
 
Back
Top Bottom