Tafakari ya Leo!

Tafakari ya Leo!

Emmanuel_Adam14

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2015
Posts
670
Reaction score
745
  1. Kadri unavyozidi kushindwa kuzigundua potential (uwezo uliopo ndani yako) ndio unavyozidi kuchelewa kufanikiwa!!
  2. Mtu aki appreciate jambo lako anataka ufanikiwe!!
  3. Ukiweza kugunduwa makosa yako wewe mwenyewe na kujirekebisha Tayari huo ni ushindi!!
  4. Usitumie muda mwingi sana kufanyia kazi udhaifu wako!!
  5. Kiwango chako cha maisha kimewekwa na nani!?
Itaendelea ...→
 
Umeandika vizuri ndugu, ila hapo kwenye post namba sita, umekosea kwa kuharibu kiswahili, kwa makusudi.
Tyuu ndo nini sasa?
 
Udhahifu wako unaujuwa ww mwenyewe usifanye ndio chanzo cha ww kushindwa!!
Sijui umenielewa!!
Sijakuulza wewe, wewe sio msaikolojia, una ugonjwa wa saikolojia(psychological diseases) Unarukia nini.

Hii uliyoleta hapa naona ni psychological trauma due to experience
 
Back
Top Bottom