DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,348
- 83,312
Naomba nitoe ombi langu kwa serikali hii ya Tz .
Kuwa iwatazame waajiriwa wa serikali kwa mtazamo tofaut kuhusu maadili ya waajiriwa... ili waruhusiwe na wenyewe kuvaa Pensi kwa upande wa wanaume , Pia nakunyoa kiduku ..then waruhusiwe kuvaa kitanashati kama kupiga mregezo ...hii itasaidia sana.
Kwani kuwabania watumishi wa umma kuvaa mavazi wayoyapenda nikuwanyima Uhuru wao nakusababisha wengi wao wakistaafu wana anza kulazmisha ujana kwa kutaka kuvaa kama vijana wakati tiyari wameshazeeka.
Pia na sisi vijana tunaitaji kuukuza utamaduni wetu tuliouanzisha wakunyoa kiduku na kupiga mregezo.
Namatumain serikali itaplay fair.