Hongera mbunge wa Mtama Nape kwa uzalendo wa kutembelea hifadhi ya Ngorongoro, mimi ni mpiga kura wako nilikuwa kwenye pilika zangu za kutafuta mkate wa kila siku.Mara nikakuona hapa shimoni...
Nilikuwa nachati na rafiki yangu kwa whatsap hapa, alikuwa ananismulia tukio lililowakuta leo maeneo ya Kipawa.
Alikuwa anatoka Gerezani wakiwa abiria wengi katika gari, waliokaa na kusimama...
Kuna maneno sana huku kwetu kambini kuhusu watanzania na wanainchi wa nchi zingine kuhusu utendaji wa kazi...ni kweli sisi ni wavivu au tunasingiziwa tu wa mataifa mengine?
Mr Laurence Jumanne Mabawa....Mwanaharakati
MWANAHARAKATI mzalendo ambaye alipata kuwa gumzo mwaka jana kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, Laurence Jumanne Mabawa, amesema atawataja...
MAJUKUMU YA MSINGI YA JESHI LA KUJENGA TAIFA -JKT
1. Malezi ya Vijana
Vijana kufundishwa moyo wa kupendana bila kujali tofauti za itikadi, dini, kabila na kipato
Kupenda kazi za mikono.
Kuthamini...
Jimbo la Siha na Kinondoni kabla ya chaguzi za 2015 yalikua CCM. Wananchi walilijua hilo lakini wakachagua upinzani kujiuzulu na kugombea tena wanamaanisha waliowachagua ni mtaahira naomba...
Afisa tarafa wa Themi Arusha Felician Mtahengerwa amepiga marufuku wakina Mama kubeba Watoto mgongoni na kwenda nao sokoni.
_
Amewataka kina Mama wote wenye Watoto waajiri Wasichana wa kubaki...
Hbr Wakuu,
Najua hapa halikosekani neno, shida yangu wakuu nataka kumjua mmiliki wa Hii hotel iko sinza ya mkomilo royal hotel mana nmesikia ni ya kibopa fulani.
Harakati za Kingo!
Tundu Lisu na Lowasa, hawa ukiwasikiliza mashabiki zao wanavyowapamba utafikiri ni kweli wana huo ushawishi kumbe fiksi tupu, tulikuwa tunaambiwa eti Lowasa ana uwezo wa kukinukisha na kwamba...
Zaidi ya wagonjwa 5,529 wa saratani za aina mbalimbali wamerekodiwa mwaka 2016 katika hospitali ya Ocean Road (ORCI) ambayo ni taasisi kubwa ya saratani nchini.
Miongoni mwa wagonjwa hao, yumo...
Habari zenu wanaJF.
Leo nawatajia list ya watu walioniudhi mwaka 2017;
1. Ndalichako
2. Posta ya Temeke
3. Mods wa JF
4. Konda wa daladala
5. Benki ya NMB tawi la Tandika
RIPOTI ya Shirika la Afya Duniani (WHO), imeitaja Tanzania kushikilia nafasi ya 27 barani Afrika kwa vifo vinavyotokana na watu kujiua.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo yenye kurasa 34, Tanzania...
SERIKALI imesema kuwa, Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) itafanya mnada wa hadhara wa meno ya viboko vipande 12,467 vyenye uzito wa kilo...
Njoo tujadili ...kozi ipi ni best kwa sasa kati ya kozi hizi
Short Courses
The Institute offers Short Courses. These Courses are offered for a duration of 1 to 3 Months.
The following are Short...
Wana JF,
Tarehe 20/10/17 niliandika mada hii: Duniani kuna mengi sikutegemea hili kunipata
Sasa leo hii hapa ninaleta mrejesho wa mada hiyo, kama ifuatavyo
Samahanin sana sikuweza kujibu kwa...
Mambo vipi wadau.
Wadau vipi kuhusu hii fani ya ufundi wa water pump je kwa mazingira ya sasa inahitajiwa?
Vijana wote mliomaliza vyuo na hamjapata ajira nawakumbusha kuwa kuna university inaitwa...
Poleni kwa kazi!!
Mimi naomba mnifahamishe Kuhusu kozi ya AUTOCAD.
Je ukisoma AUTOCAD utafanya kazi gani?
Je kozi hii inakupa fursa za kujiajiri? Au kuajiriwa?
Je ushindane upoje kwa sasa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.