Infiltrator
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 209
- 338
Poleni kwa kazi!!
Mimi naomba mnifahamishe Kuhusu kozi ya AUTOCAD.
Je ukisoma AUTOCAD utafanya kazi gani?
Je kozi hii inakupa fursa za kujiajiri? Au kuajiriwa?
Je ushindane upoje kwa sasa kwa wataalamu wa AUTOCAD?